Recent content by jackx mpole

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

    ha ha ha haaaaaaa kiongozi naona umenimalizia misemo
  2. J

    JamiiForums Tanzania Leo ni birthday ya Paul Makonda mkuu wa mkoa wa Dsm

    Happy birthday mtu asie julikana ... Mungu ampe maisha marefu azidi kutuumiza hasa walala hoi kama mimi
  3. J

    JamiiForums Tanzania LAPTOP INAUZWA

    laki na nusu kwa mara ya nne pls
  4. J

    JamiiForums Tanzania WANAUME WA DAR BANA

    Nikiwa na ndugu kama huyo napiga risasi kabisa hawezi pigwa kizembe hivyo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Michael Jackson kufukuliwa kaburini kwa uchunguzi

    Hii dunia yetu ya sasa raha sana ha ha ha ha ha haa
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toka nifike kwa kaka shemeji yangu nahisi anamuendesha kaka (Bushoke)

    Miaka mitatu ijayo humu kutakuwa kama facebook........... Ushauri bila picha mbona haijakaa poa tuma kapicha akiwa anafua ili tukushauri
  7. J

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini Diamond aliharibu familia yake

    Waswahili wanasema maji hufuata mkondo hivyo hana tofauti na baba yke
  8. J

    JamiiForums Tanzania Agness Masogange Anaswa Akidengua Kiuno Kwa Nisha

    DUNIA INAMAMBO HII SIO ASMA TENA NI HUO UGONJWA WA KUMEZA MBAAZI
  9. J

    JamiiForums Tanzania Driver wa Uber/Taxify Dar anahitajika

    DAH nimeitafuta hii kazi kwa muda mrefu .... Nimepata mishe nyengine ndo inajitokeza dah
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa kaka hataki kunifulia

    Ha ha ha ha ha haaaaaaaa washaelewa
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

    H ha ha ha haaaaaaa kupenda huko ni sawa na kupanda mbegu kwenye mawe ukitegemea ziote pole
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa kaka hataki kunifulia

    Huyo mke ameolewa na ukoo
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Ulaya nako kuna viboko?

    Nilijua viboko wa majini .... Kumbe unamaanisha kumchapa mtoto
  14. J

    JamiiForums Tanzania Misiba ya wenzetu

    Hii kitu ipo sana moshi mpaka inakera aseee
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tigo_sms za kamali tumezichoka

    Mi natafuta pa kuanzia nikawashitaki maana ishakuwa kero mpaka saa nane usiku wanatuma sijui wanataka kuaribu ndoa za watu
Back
Top Bottom