Recent content by jackson rogart john

  1. jackson rogart john

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status : job seeker Professional : Registered Nurse Education : Degree of nursing Sex : male Age:28 Location :Dar es salaam
  2. jackson rogart john

    Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    Ni lazima vyeti vipigwe muhuri wa wa mwanasheria?
  3. jackson rogart john

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Una certify cheti original au unatoa copy kwanza ndio kinapigwa muhur anayejua hapa msaada
  4. jackson rogart john

    Huyu ndiyo Mtangazaji Maulid Kitenge wa Wasafi FM mwenye Chuki, Unafiki na Uzandiki dhidi ya Klabu ya Simba na Mafanikio yake

    mbona hapo hakuna shida,kitenge ameuliza hivyo ili wasikilizaji wapate taarifa zaidi hakuna cha usimba wala uyanga hapo
  5. jackson rogart john

    Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Aisee hii inawezeka ikawa kwel kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. jackson rogart john

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Na batch ya continous student imeshatoka nauliza?
  7. jackson rogart john

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Kama nikilipa direct cost hawawez kuniludishia ela yangu
  8. jackson rogart john

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    NIMELIPA ADA NUSU ,DIRECT COST BADO SIJALIPA ILA IMETOKEA NIMEPATA MKOPO ,SASA ILE NILIYOLIPIA TUITION FEE NAWEZA KWENDA KUWAAMBIA NDIYO YA DIRECT COST MAANA MKOPO NIMESHAPATA ,WANAWEZA KUKUBALI.
  9. jackson rogart john

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    MWISHO WA KURIPOTI UDOM WANASEMA LINI ?KWA ANAYEJUA
Back
Top Bottom