Recent content by Jackson matthew

  1. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania Mizimu ya kwetu haitaki uoe kabila nyingine tofauti na msukuma.

    Kwenye historia ya kwetu hatuna mchanganyiko wa makabila mengine.si ni wasukuma halisi. kabla sijaoa msukuma mwenzangu.nilikuwa na rafiki wa kike mmakonde ambaye penzi letu tulishibana...
  2. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania Wadau hiv ni kwel kuna laana?

    Bibi yangu mzaa baba juzi aliwakalisha chini wajukuu zake.bibi aliwaeleza kuwa mtu atayetokeya akaoa mkenya atakuwa anapata watoto wanakufa. Tamko hilo la bibi amelitangaza rasm kama laana ameiacha.bibi alipoteza mwanawe wa kiume ambaye...
  3. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuoa single Mother

    ule makombo na pisi zimejaa kibao
  4. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu hii hali huwa mnaichukuliaje?

    we kaa na kinyaa chako ss huku tunavuruga papuchi
  5. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu hii hali huwa mnaichukuliaje?

    ww husuguliw huk ulipo?
  6. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania tusemezane ukweli wadau?

    Mimi sipendezwa mchumba wangu akivaa kaptura wala suruali tukiwa chumban.napendelea sana akivaa kanga
  7. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania tusemezane ukweli wadau?

    Ni kipi haukipendi kwa mchumba wako??
  8. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania Prove me wrong Hakuna fundi tajiri.

    Maisha ni akili yako tu babu bila mahesabu ya kuchambua venye utamiliki hela kaz yako tuh nikutumia tuh hela alafu unatarajia uwe tajiri utoke wap
  9. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kimetokea mbona mwamba kaaga kundi mapema!!

    umetufelisha sana tukiwa kama watanzania
  10. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kimetokea mbona mwamba kaaga kundi mapema!!

    Nimeshangazwa na kauli ya nchimbi kujiuzulu umakamu wa urais.hiv wadau ni kipi kinaendelea CCM maana hatuwaelewi??
  11. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania Hamna bahati katika maisha!!

    Maisha ni juhudi yako na upambanaji wako hamnaga bahati katika maisha usijidanganye.kula kazi wasela wangu maisha inakutegemea.
  12. Jackson matthew

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina Wanawake Wazuri na Warembo. Nimethibitisha

    Ukwel mkuu
Back
Top Bottom