Kenya imeamua kuiga Afrika kusini!!

Kenya imeamua kuiga Afrika kusini!!

Wakitutimua wa tz na sisi huku tunawatoa nduki

Ila warundi nao kwanini huwa hatulii kwao kule kanda ya ziwa wapo kibao
demu wa kirundi unaoa kwa 50k tu!
 
Wapo hata wa bure ila ni warundi wa ndani ndani

Ila hawa wa karibu lazima uwapoze kidogo
Kuwavusha mpaka wafike nyakanazi uwe umejipanga haswaa

Binafsi siwezi kuoa mrundi!
 
Warundi kila sehemu hawatakiwi. Kule Zambia wamejazana. Wengi wanapitia mpaka wa Kasesya. Yaani sio poa.
 
Nayajua wakae kwao sasa wajenge nchi yao
wao kutwa kujazana kwa majirani nani ataendeleza nchi yao?
pia wengi ni wachafuzi na wahalifu..
Unasemaje kuhusu mabinti wa kitanzania wanaoteswa kila siku uarabuni kwa ujira wa kazi za ndani?
 
Back
Top Bottom