Mimi nilizika vimbwa 6 sababu ya ugonjwa kama huo,walianza kutapika kila wanachokula kulegea mwili kuharisha damu,nikapeleka hospital dokta anataka kila mmoja alipiwe sh laki mbili na 70,kwa dozing ya siku tatu ,nikashndwa wakafa wote ,kama ni huo ugonjwa kupona ni nadra na kutopewa chanjo kwa...