Recent content by Jackob

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Jamani vipi kuhusu HALI YA AFYA YA MREMA?

    :tape::A S angry::A S angry:Ijapokuwa ni haki ya wana inji kujua afya za viongozi wao, Lugha inayotumika dhidi yao ni kali na ya udhalilishaji. Nadhani ni vema tukawa na Lugha za kistaarabu sometimes. Haki ya kujua afya za viongozi wetu zilenge nia njema na sio kutaka kudhalilisha. Bahati mbaya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA ona kasulu 21 sept 2010

    Acheni uzandiki hapa. Maisha bora hayawezi kuja kwa kukaa vijiweni na kucheza bao. Wanaojibidisha na kazi hukohuko waliko wanafanikiwa vizuri tu. Tatizo ni nyie wasomi wetu mnageuka mchwa na kusahau mliko utoka. Wengi wengi hapa mnaandika tu lakini ni Roho za wizi wa mali za umma na ufisadi wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Huyu ndio Raisi wetu akiwa Ikulu

    Mmmmmmh! Yasikie tu kwa wengine. Yote maisha
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

    Marando!!!!!!!!!!!!!!!! Spika wa bunge lipi. Na uchafu woooooooooote alionao leo akawe Spika. You guys are really not serious. Tuache ushabiki wa kisiasa. Marando hana sifa za kuongoza bunge. Msitake tuanze kumuumbua hapa.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kumlinganisha Mrema wa 1995 na Dr Slaa wa 2010 ni sawa na nuru ya Mwezi vs ya Jua

    Kwakweli ni aibu ilioje kwa wana JF kukwepa kujibu swali mnakimbilia kukashfu. Wether mrema ni Sane au Insane. Jibu hoja ya mwanzilishi wa thread hii halafu utetezi ufuate. Kumbeza Mrema kwa sababu tu unampenda sana Slaa si sahihi.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wana JF - Lugha ya matumizi ya nguvu haina nafasi

    Appreciated
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uspika

    :nono::nono::nono::nono::nono:Aya Kenge. Hebu ingia bungeni tuone tuliowatuma watakavyotudharau na kukupigia kura za kukuweka kuwa SPIKA.:nono::nono::nono::nono:
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uspika

    Andrew Kenge nadhani anamatatizo ya akili. Ama kweli nyani haoni kundule.
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kenya wanasemaje kuhusu uchaguzi wetu?

    Iacheni TISS ifanye kazi yake. Si vyema kutumia taasisi hiyo kujikosha kwa wafuasi wenu hasa baada ya kuwaahidi mambo mengi makubwa. Kukubali kushindwa ni ungwana na hakuna atakayekucheka. Viti 22 kati ya 239 kweli vinaweza kukupa ushindi wa Urais. Tangu mwanzo nimekuwa nikisistiza kuwa ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Tumeshasema Tena na Tena Hatuwataki! Ondokeni Kitu Gani CCM Hamuelewi!

    Wewe ni mjinga kwelikweli.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Mnatuyeyusha tu hapa. Marando atamchochea Slaa hadi achanganyikiwe na baadaye atachochea wanachama against Slaa hadi wachanganyikiwe hatimaye atachochea uongozi wa chama hadi ufarakane na baadaye chama kitaishia kuwa kama NCCR ya Marando. Endeleeni kumsikiliza na kumkumbatia mkadhani mmepata mtu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wajue wabunge VIHIYO wa CCM...

    Wewe sio MPENDANCHI bali ni MPENDAUCHI. Viongozi huzaliwa ndugu yangu. Ndio maana nchi kubwa kama UK zimekuwa zikiongozwa na watu wasio na elimu ambayo wewe unadhani ndio kigezo cha kuongoza vizuri. UMEPOTOKA KWELIKWELI. Uongozi hutawaliwa na HEKIMA na BUSARA na sio Elimu. HEKIMA haina chuo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Membe kuwania urais 2015...

    Acha kudharau akina mama. Wanaume mmefanya nini cha maana. Mi nchi mikubwa kama Germany na Brazil Achilia mbali Liberia zinaongozwa na wanawake na hawajaonesha kuteteleka. Wanawake wakipewa wanaweza mradi tu wasiwe wale wa mipasho na wanao endekeza umbeya na mashoga. Maana kuna msemo wanasema...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Lowasa sasa autaka Uspika

    Leo Alhamisi ndio mwisho wa kuchukua fomu za kuwania Uspika kwa mujibu wa makamba. Tupashane kama jamaa ana guts za kufanya hiyo. Ni vema tukazama kwenye maombi asifanye hivyo. Mungu wa Israel atatusikia tu.
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 SMS ya Maandamano nchi Nzima Ijumaa Imeanza

    Umefilisika kweli kweli. Unadhani nchi ni ya wanachama wa chadema tu. Acha hizo.
Back
Top Bottom