Elections 2010 Tumeshasema Tena na Tena Hatuwataki! Ondokeni Kitu Gani CCM Hamuelewi!

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
0
CCM Wameshawaona Watanzania Wajinga Kama Wao na Matokeo Ndio Haya. Hatushangai Kwani Mugabe, Museven, Mwai Kibaki, na Kagame Wote Si Ndivyo Wanavyoendesha Nchi Zao. Huu Uchanguzi CCM Hawakushinda na Muhimu Sana Wananchi Muaandamane Hio Siku ya Kesho na Kupinga Hayo Matokeo. Lets Look at Exit Pools: Hii Mikoa Ndio Imechagua Raisi Tanzania Kuanzia Dar, Moro, Mbeya, Arusha, Iringa, Mwanza, Mara, Kigoma, Mara, Bukoba na Pwani. People in These Locations are Educated and are Tired of CCM and Most of Them Elected Dr Slaa. There is No Way CCM Won in Those Areas. Wanawatumia Usalama wa Taifa na Jeshi Kuongaza Wanzanchi! Hao Hao so Called Usalama wa Taifa na Jeshi Utakuta Ndio Hao Hao Maskini Kupindukia Lakini Wapo so Blind to Protect CCM. Shame on Them! Ukiambia Kuna Nchi Gani Inaendesha Uchaguzi na Tume Iliyo Chaguliwa na Mgombea Uraisi Hutapata Jibu. Hawa Jamaa Wakiendelea Kutubuluza, Baada ya Miaka Mitano Ijayo Tutapata Mtoto Huyo Huyo wa Kikwete, Mtoto wa Makame, Mtoto wa Mwinyi, Mtoto wa Mkapa, Mtoto wa Lowasa, na Wote Mafisadi. Swali Jingine ni hili: Ulishaona Nchi Gani Inaviongozi Matajili Zaidi Kuliko Hao Wanafanya Business au entrepreneurs? Maybe Tanzania Government Has New entitlement and its so Source of High Paying Jobs. It Might if You Have a Country So Poor, You can Stimulate the Economy by Hiring More CCM Members. Wamepataje Huo Utajili na Assets Zao Kama Sio Deals Serikalini na Chama? Maybe Hawa So Called Viongozi Wamezaliwa Special Kati ya Watanzania Milioni Arobaini na Wanahaki ya Kuishi Maisha Mazuri Zaidi ya Watanzania! Kitu Gani Kitawazuia Kuiba Kura Tena? Maendeleo Tulionayo ni Haya na Yatendelea Kuongezeka:
I. Vifo Vingi Muhimbili
II. Wananchi Kukosa Kazi kwa Wingi
III. Wizi wa Fedha za Serikali Kuongezeka
IV. Ujambazi Mitaani kwa Wasiojiweza
V. Usalama wa Taifa Kuendeleza Udikteta Kila Mahali na Kutia Ndani Wananchi Wanavyotaka
VI. Utajili kwa Mafisadi
VII. Kutawaliwa na Watoto wa Hawa Wajinga CCM
VIII. Umaskini kwa Wazazi Wetu na Familia Zetu
IX. Uingozi wa Mabavu
"Tuangalie Kenya na Zimbabwe Walivyofanya na Leo Wanaanza Kuona Matunda. Hawa CCM Hawataki Kuondoka kwa Amani ya Kura, Wanataka Kutuua kwa Silaha"
"Hii ni Inatufanya Tuingie Mtaani na Kuzui Huu Wizi Kutawala! Tumeshasema Hatuwataki Tena na Mtuache!
 

seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
Are you not even ashamed kumwita mtu anayesema ukweli "mjinga"? Is it because you benefit from those that continue to rip our resources for their own good? Mzalendo gani wewe usiye na unchungu na nchi yako au watu wako? You are sick to the core; blinded by offers or something of that sort!!! Mmmmmhhhh, inawezekana wewe sio Mtanzania au umerubuniwa. Wacha wenye uchungu na nchi na watu wao wasema kwani wao ndio wenye brains, as for you, I pity you, I even wonder if you are able even to follow proper discussions. Go enjoy the little you get and get ready to suffer consequence with them when time comes. Ukombozi uko karibi!!!! Hatudanganyiki kamwe
 

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,509
2,000
Hivi unafikiri ufisadi wenu mnaoufanya na baba zenu hauna mwisho wake? Ipo siku zenu zinakaribia nitakula sahani moja na wewe pumbavu unayetetea ufisadi wa mama yako na baba yako. Wajinga kama nyinyi tutanyonga tu siku zenu zikiwadia. :A S angry:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom