Lowasa sasa autaka Uspika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa sasa autaka Uspika

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mongoiwe, Nov 3, 2010.

 1. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Kuna taarifa ya kuwa Edward Lowassa ameanza mikakati ya kuusaka Uspika wa Bunge la 10 la Jamhuri ya muungani wa Tanzania.
   
 2. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anafaa na anastahili.
  Ana uzoefu wa kutosha sasa bungeni na serikalini.
  Bado taifa letu linahitaji mchango wake.
   
 3. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  jamani huyu mwizi kuwa spika tena du watu hawatosheki why?
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  bunge ni wananchi, haiwezekani mwizi akatuwakilisha kuihoji serikali
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli ngoma hiyo itanoga sana kwani atapambana na Mr. Speed na Viwango aliyetangaza mapema kuwa akirudi mjengoni atatetea kiti chake cha uspika!! Sasa sijui hiyo chama yao itampendekeza nani kati yao?
   
 6. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Now who told you Tanzania needs more corruption?
   
 7. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Namunga mkono kuliko Samwel Sitta mnafiki
   
 8. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jizi na fisadi mkubwa anatafuta nini pale mbele ya mjengo. Yeye aendelee kusinzia kwenye kiti chake cha kawaida. Nitawashangaa sana ccm wakimruhusu jambazi awe spika. Isitoshe ana hulka ya kujisikia na ana dharau sana.
   
 9. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Siku EL anakuwa SPIKA wa bunge la 10 narudisha CARD YA CCM mbele ya vyombo vya habari na siku hiyo wana JF ndio mtanifahamu waziwazi me ni mwanamageuzi makini ndani ya CCM pasipo uoga ninae taka mabadiliko mahali nilipo ndani ya hiki chama wananijua fika kuwa nina fuata mkondo ule wa mwalimu aliutaka uwe kuwatumikia watu na sio matumbo yetu.

   
 10. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wewe unamfahamu huyu EL au unafuata mkumbo tuuu au unawajaribu watu humu ndani ya JF wana CCM wengi hawamfagilii huyo jamaaaa kabisa
   
 11. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  twafwaaa watz! Naamini akipata hamna hoja ya msingi itakayo jadiliwa, sijui tunaelekea mahali gani watz
   
 12. B

  BigMan JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  "TULIFURAHI PAMOJA,TULISIKITIKA PAMOJA NA TUTASONGA PAMOJA NA TUTASHINDA" hiyo ni kauli mbiu ya el katika jimbo la monduli,je mnafahamu maana yake ?
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,445
  Likes Received: 19,813
  Trophy Points: 280
  el AKICHUKUA USPIKA BASI TUMEKWISHA LAZIMA ATALIPIZA KISASI . ok labda anangojea kwanza rafiki JK yake kama atashinda ndio achukue
   
 14. C

  Challenger M Member

  #14
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Na hakuna anayeweza kumzuia akisimama lazima mafisadi wenzake watamchagua labda Mwakyembe nae achukue fomu halafu zipigwe kura ambazo indirect zitaamua Lowasa fisadi au sio fisadi akishinda basi sio fisadi
   
 15. Sir John

  Sir John Senior Member

  #15
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi ni porojo,EL hawezi hata ku uwaza uspika.
  Labda uwaziri kwa swaiba wake.
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Labda uspika wa bunge la wamasai pori wenzake, pun very much intended :caked:
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,445
  Likes Received: 19,813
  Trophy Points: 280
  Well said !! chini ya miti huko
   
 18. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hiv mnajua kikwete ninyi???? Amini msiamini mnaweza kushangaa EL anakuwa spika mpya wa bunge. bwana 'kuchekacheka' hajali chochote. Tangu lini mlisikia kikwete ametendea kazi malalamiko ya wananchi. Tena safari hii ndiyo mtalia zaidi atasafiri nchi za nje mpaka mlie.
   
 19. J

  Jackob Member

  #19
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo Alhamisi ndio mwisho wa kuchukua fomu za kuwania Uspika kwa mujibu wa makamba. Tupashane kama jamaa ana guts za kufanya hiyo. Ni vema tukazama kwenye maombi asifanye hivyo. Mungu wa Israel atatusikia tu.
   
 20. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wa mwanzo kuchukua form ya uspika ni Sitta kachukua jana
   
Loading...