Elections 2010 Huyu ndio Raisi wetu akiwa Ikulu

Jamanihapo hajamalizia.... ''huyu ndio raisi wetu akiwa ikulu akila raha wakati watanzania tunasota juani''
raisi amekula bonge la pozi hana mawazo, jifikirie wewe hapo ulipo una mawazo gani kichwani! Una uhakika na kesho itakuwaje? Ikitokea umeachishwa hako kajob kako una sehemu ya kutegemea nyingine? Familia yako ina uhakika wa maisha yajayo bila wewe? Mawazo na hofu ya umaskini yametawala halafu unashangilia raisi akiwa ikulu,ungeweza kumuuliza anawaza nini hapo utashtuka sana ..anajiuliza safari zinaanza lini kwenda marekani n.k!
 
Sura kama mashairi ya Juma Necha
Doug%252BPitt%252BNamed%252BGoodwill%252BAmbassador%252BTanzania%252BSw4srOZgh2El.jpg
 
Pole kwa machungu ndugu yangu...utaumia zaidi kusikia hao wote wamempa kura JK....hapo ni kijiji alichozaliwa...nakupa na hii...hataki kuchafuliwa na tope

8E9U8225kikwete+fariji+chini.jpg
hapa siyo kwa yule dereva wa daladala aliyepigwa risasi na Best man wake?
hii kali kweli, kumbe alienda nyumbani kwa watu kuwapa pole akiwa amevaa buti za mvua? kama amaenda shambani? du!
 
Duuu kikwete ananishangaza sana amewatoka moyoni watanzania wapenda maendeleo kama mimi namwingine labda malaria sugu ndiyo anampenda bado rais wangu ni Dk waukweliiii Slaa na watanzania wapenda maendeleo kikwete ni rais wa ccm
 
Tatizo la Watanzania wanadhani Rais na Baraza lake ndio wanaleta maendeleo... Maendeleo yanaletwa na taifa lenye watu wanaofanya kazi!!! Through kazi they get taxed and that tax go to improvement of social services... including housing.
 
Huyu ni Rostam!! Jamani msitudanganye hii imetengenezwa sio picha halisi. Umeibana mpaka kochi limetosha! Ama kweli wewe ni mjanja. Ungemkalisha kwenye lile lile kochi la Mh. Nchi hii inauma sana. Kila siku haukosi jambo la kukutonesa kidonda cha shida na Umaskini. Tena sisi tuna nafuu sana, leo sikukuu tuko kwenye mtandao tunachati, wengine wanakula matembele matupu huko vijijini. Lakini wanayataka wenyewe, huwaelezi kitu na SISI EMU.
 
jamani ebu nisaidie, nitaonaje hizo picha maana naona maneno picha sioni, kwa hiyo sifaidi,pls i need help JF
 
Kwa hali hii naelewa kwa nini ndugu yangu KIGOGO kapigwa BAN ya milele maana mamabo haya yanatia hasira sana....kweli kweliiiiii hii nchi unaongoza watu wako hospital hapo?no way

Kumbe Kigogo kapigwa BAN? ain' fair MOD'z, nimemmiss mno msela wangu, was enjoyin sein' hiz short n clear phrases...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom