Recent content by jackihi makosa

  1. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania UDSM kwa sasa ni cha kata, imebaki historia tu

    mmh una maanisha chuo cha kata kinachukua wanafunzi wa kata 1 au?
  2. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania UDSM kwa sasa ni cha kata, imebaki historia tu

    kujigamba kisa umesoma chuo "x" ni ushamba tu. Tunataka tuone mabadiriko chanya huku mtaani. Kupata GPA kubwa au ndogo alafu useless ni sawa na hamna ulichofanya. Soma vizuri (fuatilia na zingatia masomo) ili yakusaidie na usaidie binadamu wenzako.
  3. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    Mkoa wa Lindi: CUF 4 CCM 4 Mtwara Ccm anaongoza kwa nafasi moja. iliobaki hii ya Masasi, endapo UKAWA watashinda itakua sare, kama kitambaa cha sare akitoshi basi Sisiem wataongoza viti 2
  4. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania Waliokua wanasema UDSM wote wanapata kazi ila UDOM hawapati kazi wako wapi?

    degree ya UDOM = UDSM=vyuo vingine. But, wa Udsm wanapenda sifa sana na kujiona wapo vizuri. Kumbe ndo hao hao wanaohujumu mali za wananchi. PUMBA KABISA
  5. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania Yoga kiwango

    mmmh! ivi uyo nae umpeleke kitandani kufanya nin? Angalia miguu iyoo utaona msuli huo. Tafuta dem na achana na uyo
  6. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    wataifishwe na mali zao pia
  7. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania Wanaume waongeaji na kujisifia kuhusu mapenzi hawawezi kitandani, ila wasioongea ni balaa

    na wanawake wazuri ni chenga tupu!
  8. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa email ya kazi na hili shirika, The Global warming Policy Fund (GWPF)

    ata kuku atajua kama anachinjwa.
  9. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania Walimu wapewe posho ya kufundishia

    Hapa Kazi Tu! ~>Ishu ku attend shuleni(kazin)... Hakuna kufundisha kwa kujitolea. Nawapenda walimu wa siku izi, hawanaga maneno maneno wao vitendo tu. Wanajazana maofisini na mikoroshoni kupiga stori tu. afu jion hakuna kurudia shule ni kukesha kijiwe tu.....' WENGINE WAFAIDI NA WENGINE...
  10. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania 10 Greatest Rappers Of All Time In Tanzania

    FID Q ni Number One
  11. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Sasa ww unafikiria kutumia dakika nyingi ni maendeleo?
  12. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini hatima ya wanafunzi wa vyuo vikuu kuhusu kupiga kura??

    Naombeni msaada mwenye ufahamu juu ya upigaji kura kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na Watanzania ambao wanaitaji kupiga kura lakin siku ya kupiga kura itawakutia sehem tofauti na walipojiandikisha? TUWEKANE SAWA!!!!!
  13. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania wanaoifahamu coz ya computer science and software engineering chuo cha RUCO/RUCU

    dogo iyo kozi ni nzuri sana.... kaza buti
  14. jackihi makosa

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tatizo la umeme litamalizika muda mfupi ujao

    kaka hakuna Gesi, bibi wa Mtwara kagoma kitambo,. serikal inazuga tu
Back
Top Bottom