Waliokua wanasema UDSM wote wanapata kazi ila UDOM hawapati kazi wako wapi?

degree ya UDOM = UDSM=vyuo vingine. But, wa Udsm wanapenda sifa sana na kujiona wapo vizuri. Kumbe ndo hao hao wanaohujumu mali za wananchi. PUMBA KABISA
 
Dahhhh kazi kwelikweli...... Nina ka degree ka open university ila post nzuri tu TBL...... 2.8m inanitosha heri yenu UDOM& UD
 
Polee watu wanadiploma zao za technical wako tbl hiyohiyo wanakula gross ya 4M a.k.a grade j
 
UDSM imezalisha ma jangiri mengi yaliyoifilisi hii nchi kuliko Loyal wachache. Mtoa Uzi alichokisema ni kweli kabisa. UDOM ni SERA , SAUTI ni MBWEMBWE, UDSM ni ULAGHAI.

Huu ndo ukweli kwa sasa. Tulieni SINDANO iwaingie wana UDSM.
 
Dahhhh kazi kwelikweli...... Nina ka degree ka open university ila post nzuri tu TBL...... 2.8m inanitosha heri yenu UDOM& UD
Khaa!! Miye niliacha shule darasa la pili ila post yangu ni mganga wa kienyeji. MD wenu haamui chochote bila kwanza kuniconsult. Nakula dolare tu :mvutaji:
 
Love your job not your company, u will never know when the company stop loving u.......tulia penda kazi unayofanya usitambe hapa, huezi jua lini utaachishwa kazi...sijui utarudi hapa kuongelea mambo ya chuo, penda kazi yako kama umepata na omba sana wakubwa waendelee kukupenda...hilo tu
 
usijitoe ufahamu m.p.u.z.i wewe hakuna asiyejua kua kupata kazi ni bahati bz wahitimu ni wengi na idadi ya vyuo imeongezeka...,pilipili usiyoila inakuwashia nini kwenye kitobo chako?
Ukweli utabaki pale pale Udom ni vilaza si unaona jinsi mhitimu wa Udom anavyo attack mtu personally...badala ya kujikita kwenye mada matusi yote ya nini? bwana mdogo..wewe hujiamini na hio kazi umebahatisha kama watasema wairudie hio interview lazima wakutoe knock out...hadi kazi unabahatisha????
 
hongera ww unayejiamini ila elim yako haijakunufaisha na lolote
 
Mdogo wangu nimehitimu UDSM, June 21 2013, 9 September 2013 nikapata kazi shirika la Kimataifa la kuhudumia wakimbizi, mapenzi yangu ni kufanya biashara nimejichanga hela ya mtaji wa kuniwezesha kuanza biashara...nikapiga kazi chini sasa hivi napiga biashara zangu...na pia nime enroll Law School of Tanzania...baada ya muda kadhaa nitakua wakili..tena wakili msomi mimi na wewe nani ambae hajanufaika kitu? kwa hapa niipo elimu yangu imeniwezesha kupata mtaji...em rudia tena sentensi yakooo?
 
mimi nina viwanja zaidi ya 8 mbezi, pia nna ngurue 100, kila siku naingiza zaidi la laki 6, mm na wewe unayejiita chuo bora, nani zaidi KENGE wewe
 
Hauna ubavu wa kua na viwanja nane, wala biashara ya kuingiza laki 6 kwa siku, sababu biashara sio kama ajira kwamba unaassume kila kitu kipo constant..tuanzie hapa njia ya muongo ni fupi...nguruwe umewanunua wakiwa na umri gani umewatunza kwa muda gani..? tuassume umepata mkopo wa 7.8mil,12 au 15mil toka NMB...na inaonesha upo dar,,,tuanzie hapo...na pia ni muongo sababu biashara sio constant hivyo huwezi sema unaingiza kiasi fulani kwa siku as if ni guaranteed kama ningekua sifanyi biashara ningedanganyika haya viwanja 8 tuassume ni mil 3 kila kimoja x 8 = 24mil of which katika lets say 14 months of your employment bado hata kiwanja hakija appreciate kihivyo, hao nguruwe umewanunua kwa pesa ipi? enh yani wewe ni muongo hata kwa facts...au unataka uonekane ni bab kubwa? jibu lakini usitukane....uonesha umeelimika
 
Kama msomi hautakiwi kukurupuka, nadhani ungefanya utafiti ili hoja yako ikawa kisomi maana wewe ni mhitim wa chuo kikubwa UDOM

Wasomi wanatumia njia mbadala kujenga hoja na sio kama watu wa mtaani jaribu kujitofautisha katika hilo.

Unauhakika upi kwamba graduate wote UDOM wamepataka kazi? Au udsm wengi hawajapata kazi? Lete data hata kuanzia 2012.

Swala la kupata kazi ni swala mtambuka, swala la kuajiliwa wahitimu wa chuo au fani fulani kwa wingi linategemea na uhitajikaji wa soko la ajira kama unataka kuzungumzia in aggregate.

Swala la wewe mmoja kupata kazi tena serekalin halizuii uvumi kwamba watu fulan fulan from chuo fulan hawaajiriki.

Na pia mfano je ungekuwa umepata kazi zile za kwenye kampuni kubwa na nyeti zinazolipa vzuri ungesemaje?

Mshukuru Mungu kwa kupata kazi, fanya kazi usiwe mzigo huko ulipo

Msomi acha majungu na myth za mtaani, jenga hoja kisomi

La sivyo unatafuta majibishano ya ushindani wa kivyuo ambao ni wa kitoto....mambo ya kiferst year...

Umenena vyema.
Mwenye macho na aone...
 
Hauna ubavu wa kua na viwanja nane, wala biashara ya kuingiza laki 6 kwa siku, sababu biashara sio kama ajira kwamba unaassume kila kitu kipo constant..tuanzie hapa njia ya muongo ni fupi...nguruwe umewanunua wakiwa na umri gani umewatunza kwa muda gani..? tuassume umepata mkopo wa 7.8mil,12 au 15mil toka NMB...na inaonesha upo dar,,,tuanzie hapo...na pia ni muongo sababu biashara sio constant hivyo huwezi sema unaingiza kiasi fulani kwa siku as if ni guaranteed kama ningekua sifanyi biashara ningedanganyika haya viwanja 8 tuassume ni mil 3 kila kimoja x 8 = 24mil of which katika lets say 14 months of your employment bado hata kiwanja hakija appreciate kihivyo, hao nguruwe umewanunua kwa pesa ipi? enh yani wewe ni muongo hata kwa facts...au unataka uonekane ni bab kubwa? jibu lakini usitukane....uonesha umeelimika

Punguza Wivu Wa Kike we jamaa. Ulitaka iyo biashara ufanye wewe pekeako? Kenge we tulia Msumari uliopigwa ukuingie kisawasawa.
 
Back
Top Bottom