DED wa Kisarawe ana taarifa za uuzaji huu? Na kwann hamna ofisi hapa wilayani? Nitafuatilia kujua ukweli wa hili maana nipo hapa ila sijapata habari hizi wala kuona tangazo
Nafikiri kuna pahali umeacha tundu mkuu,unafikiri kuwabinya watumishi ndio ufanisi wa kazi? Hii ina impact kubwa kama kuzalisha rushwa kwenye huduma za jamii na kuwafanya watumishi wafanye kazi wakiwa na stress,tutegemee ufanisi kwa mtaalamu mwenye msongo wa mawazo? Karo hajalipa,pango,nauli nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.