Habari wakuu
Ni matumaini yangu mu wazima kwenye hili jukwaa
Nimemshusha heshima kama vyeo vyangu nimeondoka navyo,hapa nipo zangu huku ndani ndani kinondoni mkwajuni kuna jirani yangu mmoja mdada mbichi tu kama sio 26,27umri wake hapo hawezi kuzidi.
Katika soga za hapa na pale huku tukiwa tunacheki movie majira ya usiku kha...Movie ya kuitwa the paranoid night sasa humo ndani kuna.Viscene vya kupelekeana moto heee bia zikaletwa hapo na mwanangu wa kuitwa James mwenyewe namwita kichwa mkuki bia kama mbili mbili tu sasa maongezi yakawa yanaendelea.
James akapigiwa simu akatoka njee nikabaki na huyo sista jina namuhifadhi anapiga mzigo pale Mayfair duuuuuuuh alichokisema sasa et Jerry umekula au bado nikamjibu sasa ***** si wote tupo hapa unaniuliza nini akasema "We jibu una njaa'' nikamwambia ndio nina njaa.
Akasema ukila kama utapenda jina la wimbo wa Gigy mi nakupa kwa roho sababu tu nakukubali.
Sasa hakurudia wala nini, daaa hiphop mimi sijui hizo nyimbo za wabana pua loooo sasa kumbe lidada lilishikwa na genye na lilifikisha ujumbe kwa njia ya ajabu maana nilivyogugo wimbo wa gigi nikakuta papa duuh yaani shame on her, shame on her maana anamjua mtu wangu ila akaamua anivunjie heshima.
Pengine nimefikiria vibaya sasa
Watu nikiwauliza wanajibu tu alitaka umgegede