Recent content by Ja60

  1. Ja60

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

    Kwa hiyo hicho ndiyo kipaumbele chake :rolleyes::rolleyes:
  2. Ja60

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Tanzania ina wagonjwa 13 wa Corona, 12 walitoka nao nje ya nchi na 1 kaupatia nchini (Machi 26, 2020)

    Sio wote watakuwa na taarifa kama walipimwa. Hivi mtu akiwaona hivyo anapata picha gani ukizingatia kila siku tunahubiriwa tukae umbali wa hatua tatu kati ya mtu na mtu.
  3. Ja60

    JamiiForums Tanzania Utafiti mpya wa kisayansi wa Covid19 – Msaada mkubwa wa kujikinga na kuzuia maambukizi kwa wengine

    Asante mkuu kwa elimu. Umenikumbusha mbali na hesabu zake nilishaanza kusahau.
  4. Ja60

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Tanzania ina wagonjwa 13 wa Corona, 12 walitoka nao nje ya nchi na 1 kaupatia nchini (Machi 26, 2020)

    Wanaleta siasa hadi kwenye vitu ambavyo si vya kuleta siasa.
  5. Ja60

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Tanzania ina wagonjwa 13 wa Corona, 12 walitoka nao nje ya nchi na 1 kaupatia nchini (Machi 26, 2020)

    Si alishasema isitutishe na baada ya hotuba wakaenda kupiga picha wakiwa zero distance kabisa.
  6. Ja60

    JamiiForums Tanzania Walevi ni magenious na majasiri

    Kuanza kunywa pombe ndio ujasiri wenyewe hayo mengine ni matokeo tuu
  7. Ja60

    JamiiForums Tanzania Leo amenishangaza sana huyu binti mdogo

    Unatakiwa Kumpa taarifa
  8. Ja60

    JamiiForums Tanzania Kosa la Magufuli ni lipi? Mbona huyu naye kapiga?

    Wetu alikuwa hapumziki alikuwa anatafuta attention. Kupumzika gani kule?
  9. Ja60

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huko Spain watu 738 wameaga dunia kwa masaa ishirini na minne. Wakenya na Watanzania tuwe makini ili majanga haya yasitupate

    Wakati yeye alivosikia mgonjwa yuko Dar akakimbilia Chamwino halafu anasema tusitishane.
  10. Ja60

    JamiiForums Tanzania utamjibuje mtoto akikuuliza hivi???

    Haitatokea nikaulizwa hilo swali na mtoto wangu?
  11. Ja60

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mwanamke analalamika wanaume tumekuwa wabahili wakati wenyewe wanawake ndio wabahili?

    Basi ni wachache sana wanaotoa burudani kabla hawajatumia pesa yako?
  12. Ja60

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mwanamke analalamika wanaume tumekuwa wabahili wakati wenyewe wanawake ndio wabahili?

    Hivi nini kinatangulia kati ya burudani au pesa.?
  13. Ja60

    JamiiForums Tanzania Nimenunua lori, niandikeje kwa nyuma?

    Ondoka usemwe
  14. Ja60

    JamiiForums Tanzania Leo amenishangaza sana huyu binti mdogo

    Baba yake anajua umekubali kuachiwa chenchi na binti yake?
  15. Ja60

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tuombe tuu wawe wanamaanisha.
Back
Top Bottom