Recent content by J wawatu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wateja wa Maryland Bar Mwenge

    Hizo hbr za uzushi? Na km ni vibaka wapo hawausian na mambo ya bar!!! Sema kuna wacheza pull flan pale sam time wanawakazia wateja macho xna hasa ukiwa mgen?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Line ya Tigo-Pesa, M-Pesa na Airtel Money zinahitajika

    Lete laki nne, nikupe ya m-pesa na cm zake mbili za nokia! Muda wowote ukitaka!
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kupata wachumba au wapenzi JF

    Wanawake wa humu ni wasaka hela tu, hawana lolote!!! Yaan wapo serious wanataka mume ila lzm uwe vizur mfukon na watoto wenyewe wapo kiutam flan hiv kimaumbilie.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nauza line ya m-pesa,

    Kwa anaye hitaji line ya m-pesa tuwasiliane pm, BEI LAKI NNE.
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Naskia na mafund ujenzi waliyopo kwenye makampun ya kichina na wahindi nawo watagona mda c mrefu, watu wanataka ajira ya kwel c kiin macho huku wizara ipo ila inajidai haifahamu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wa Tanzania ni mianaume suruali

    Hapo ndipo utagundua kuna wanawake na machangu kama ww.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje uwe Dar es Salaam halafu hujui baadhi ya maeneo ya Dar

    yaan ww ndiyo mburula, na unaelekea unaishi bila bajet ya maisha yako. yaan mm nitoke kawe naenda kimbiji au nitoke bunju naenda malamba mawil kisa kujua dar bila sbb ya msingi? na hizo ni trip za mbal hiv unaju bei ya boda posta mpya mpk steshen na upo fasta au unaropoka tu na gar yako ya mkopo?
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    siyo machame huyo kweli?
  9. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaahidiwa Fedha na Wanaharakati (Marekani): Masharti ya Fedha Yanatisha!

    ha ha haaaaaa nimecheka xna, aises ebu jrb then ulete marejesho.
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojiona warembo sana huishia kusimamia harusi za wenzao wengi hawaolewi

    Kwa lifestyle ya xx nan anataka stress za maisha alaf ni wepesi kweli kutoa mimba!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Usalama, ikulu, tanesco, tanapa na wanakuwa vitengo muhim ha ha haaaaa acha nicheke miye maana hata nikinuna nitajiumiza bureeeeeeees nchi inawenyee hii acha tuendelee kusugua gaga......!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Silinde akanusha yeye na Wenje kufanya maamuzi magumu muda ukifika

    Na was was na uwezo wako wa kufukiri, isikute ulichokuwa unawaza ni tofauti na ulichoandika?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wajue viongozi ambao wamewahi kufukuzwa katika vyama vyao vya kisiasa

    Hivi viloba fek ni noma, alichokuwa anafikiri na alichoandika ndipo utagundua kwann wengine wanaona bora kusema ndiyooooo maana unaweza soma na usielewe.......!!!
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake walio wengi wanapenda kuomba omba hela katika mahusiano?

    Kusaidiana c tatizo ktk mausiano, ila kuna waschana wengine wanakera xna kwa kweli, ktk swala la kuomba hela. Kwa mfano mnaanza mausiano hata wik hamna hasa cku akikuvulia chup tu utaskia, sina cm, hela ya kusuka rasta, kuna rfk yangu ananidai ananisumbua kweli na .............. kiukweli kuna...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nataka mwanamke aliyenizidi umri

    Tafuta kwa bidii utapata acha tamaa mtoto wa kiume, "kipato atapewa kipao mbele" mmh kaz unayo kijana?
Back
Top Bottom