Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,481
- 867,255
isije ikawa pesa zimekata, otherwise hongera
Ngoja zimtembelee tutajua tuu
isije ikawa pesa zimekata, otherwise hongera
walevi wa soda ama pombe naona vonywaji ....walevi utawajua tu!
Watu wengi wamelizwa pale maryland. Tatizo kubwa mmiliki wa bar (simjui) inaonekana anapenda cheap labour sasa matokeo yake anajikuta anaajiri mateja na vibaka ambao wanawaliza wateja kila mara. Kama hutaki kuelewa we nenda tu sikuzii. Mimi similiki bar wala biashara yoyote mimi ni mtumishi wa umma hivyo sina nia ya kumharibia biashara.
isije ikawa pesa zimekata, otherwise hongera
mmiliki wa bar ni mwachiro pamoja na kaka yake huenda kilio chako kimesikika.
Anakunywa ila hapotezi
Walevi Utawajua Tu!
Sis wazee wa indoors we got nothng to worry
Gari unaingia nalo ndani ? Samahani kama huna gari
Mlevi ni hawara wa mkeo!sie tunajuzana habari ya kuibiwa wewe unaleta za kuleta! pambafu! mwenywe hapo nilichapwa laptop na vitu kibao!
Maryland bar kwa nyuma kuna mtaa maarufu sana kwa mateja na kuuza unga unaitwa king stone.hapo ndiyo kitovu cha kuuza unga na mateja.hata ile mitaa ya Togo na ufipa haifikii king stone.hata banza stone aliimba king stoneeee
asante kwa taarifa
sasa tuende kijiwe gani?