Recent content by J I T U

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mapenzi haya jamani!

    Leo nimekumbuka moja ya kisa cha miaka tisa nyuma kilichomtokea dogo mtaani baada ya demu wake kukata betri getto kwake. Daah dogo baada ya kuona vile, naye akajitundika.Yaani wote walienda na maji hivhiv ka utani. Ujumbe: Vijana tulieni haya mambo siyo kabisa; subirieni ndoa. Dogo alijua kuna...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wakongwe

    Kweli hawa soko limewashinda ngoja waendelee kuoteaotea tu mpaka ndoto iwaote nao
  3. J

    JamiiForums Tanzania Maneno kuntu

    Nyimbo nyingine hata kama umevurugwa vipi ujumbe wake tu unakurudisha njia kuu, hasa ule wimbo wa BUSHOKE, "DUNIA NJIA". Mimi tu ujumbe wake unanitisha mpaka kesho, yaani ni zaidi ya hutuba ya kanisani na msikitini. 🎤🎤🎤
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wakongwe

    Hivi wale wakongwe wa muziki safi wako wapi Eti akina marlaw na goma la busu la pink Akina matonya ,zanto n.k Wapo wapi Leo hii mziki mtamu hakuna tena daaah🙀🙀🙀😫😫😫
  5. J

    JamiiForums Tanzania Unawakumbuka wale vipanga?

    eeeh
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wadada wote

    wewe una utani wa ngumi mm na shule VP tena
  7. J

    JamiiForums Tanzania Unawakumbuka wale vipanga?

    Aise leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ya 2003 enzi hizo naanza form one shule fulani. Enzi hizo ilikuwa shule ya serikali lakini ya vipaji; aisee hapa nilikutana na vipanga humo darasani mpaka naona kero, maana ilikuwa too much Lakini nilijivunia sana kuwa pale maana nilijifunza mengi ikiwamo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chuo cha ufundi magari

    Habari wanaJF, Ningependa kufahamu chuo bora hapa Tanzania kwa kufunza ufundi wa magari kwa ngazi ya degree.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wadada wote

    Unaonekana mrembo Mara anapita jamaa anakukatia mistari ,kwa sababu ya ujinga wako na we we unakubali on first day eti kwa vile jamaa amevaa vizur,handsome ama ana hela huo ni uzembe wa aina yake ... . pambana huwezi jua Huyo ni wa aina gani kabla ya kupata ngoma Alisikika "Mlevi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Vichaa huona nini?

    huenda in kweli hii.But I'm not sure
  11. J

    JamiiForums Tanzania Vichaa huona nini?

    Ni kweli kamanda Mshana kwa ufahamu wangu hafifu nilijaribu kutafiti kidogo kuhusiana na hawa watu na kubaini kuwa licha ya kuonekana useless in society lakini wana kitu kizito katika bongo zao ambacho ni very useful in certain environment maybe out of our planet
  12. J

    JamiiForums Tanzania Alimeza dawa za kuzuia ujauzito (P2) nikimshuhudia lakini kapata ujauzito

    patashika na mimba ya miujiza Eti baada ya wiki moja dalili kama zote "ACHA UNG'OMBE" alisikika J I T U akikoroma
Back
Top Bottom