Recent content by J 20A

  1. J

    Hili jambo limenistua sana

    Mzungu wa unga maisha yake ni nusu jela nusu uraiani kama mtaani kwako wapo waulize ni mzungu wa unga yupi atakaekubali kuwekeza kwa mtoto eti ili baadae apate soko
  2. J

    Ni nunue lipi kati ya discovery 2 ; ford escape ; nissan x trail ; etc

    Nunua toyota Harier 5S Engine itakufaa sana
  3. J

    Kwa yeyote anaehitaji spare za pajero short chases engine 4D56

    Kwa yeyote anaehitaji spare za pajero ilipata ajali ilitembelea kipaa tukaamua kuikatakata kwa hiyo kama unapajero yako umeipaki kwasababu umekosa spare labda turbo,engine,gear box,diff... Nitafute kwa namba 0655956691 0755956691
  4. J

    Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

    We kweli umeshindikana endelea kuwa king'ang'anizi kama hayajakutokea ya ya Jeje na mke wa mlatie
  5. J

    Simuelewi huyu demu

    Fuata kilichokupeleka chuo hayo mapenzi yapo tu
  6. J

    Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

    Nimekuelewa ila mume wa mtu ni sumu
  7. J

    Maneno mapya ndani ya mmu yamkosha wife na kunogesha penzi

    Uwe na chujio la kuchujia kuna mengine sio ya kupeleka nyumbani Inaonekana wewe ni mtoto wa kishua ujakulia uswahilini ila humu utayapata mengi tu kwa sababu tupo mchanganyiko kwa hiyo akili kumkichwa
  8. J

    Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

    Yale mambo hayana utu uzima wala utoto mapenzi ni upofu kama una ndoa tulizana na ndoa yako ndoa na iheshimiwe na watu wote na kama hauna tafuta kipenda roho mfunge pingu mtulie hii onja onja mwisho wake ni mmbaya sana ni hayo tu.
  9. J

    Ogopa huyu Mtu Hatari Ibrahim-0754 962052

    Mjini wajinga hawaishagi
  10. J

    Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

    Je wewe mwenyewe ni cster do au unataka mahandsome na wakati we mwenyewe haulipi nijuavyo mimi kama unalipa huna haja ya kujitongozesha ukujipitisha tu kidume mwenyewe anachanganyikiwa
  11. J

    Faida za nyanya chungu

    Dunia ina mambo kaka/dada kuna wengine hata ako kamoja kukapata ni shughuli babu anashtuka kwa msimu akiwa ofisini babu akishtuka anampigia cm mama watoto anamwambia babu ameshtuka tukutane nyumbani haraka
  12. J

    Mazishi ya Advocate Nyaga Mawalla utata mtupu

    Mtoto angejishusha baba asingekataa kusamehe na kama angekataa wangewaita wachungaji maaskofu na mapadri kama watu hawa wameweza kummshawishi akahudhurie mazishi ya mwanae si zaidi kutoa msamaha kabla maji hayajamwagika tatizo vijana wa kileo kiburi akishakuwa na pesa anataka akikosea asiambiwe...
  13. J

    natafuta mme aliye serious

    Hivi usichana na uvulani unaishiaga miaka mingapi kwa anaefahamu tafadhali
Back
Top Bottom