Ogopa huyu Mtu Hatari Ibrahim-0754 962052

Ogopa huyu Mtu Hatari Ibrahim-0754 962052

0768978077
0754 962052
0765377506
Matapeli mjini:bathbaby:
 
huyu mtu hatari sana, anatumia namba hizo hapo juu ,anajifanya anakufanyia mpango wa kazi then anakuomba hela kwa mpesa akusaidie, ukishampa ,humpati tena hewani.


Mfano wa meseji zake:


habari, am ibrahim from youth progres dsm, am in a cv review meeting for research assistant post nimeona cv yako its gud, lets do a deal. Nakusaidia upate hii kazi this week, ukipata ur first salary utanipa laki 4, salary is 1.8 million. Kama umeafiki tuma sh. Elfu 30 nimpe hr manager ili akupitishe anataka laki 1 me nina elfu 70 tu tuma by m-pesa to 0754 962052 tuma kabla ya saa 10 jioni. Kwa sasa siwezi kuongea nitakupigia simu nikitoka kikaoni.

mkuu mimi pia nimewahi kutumiwa message kama hiyo,hawa watu wapo wengi ni kamtandao ka watu wengi sana
 
me nina ya kwagu nitaipresent next week,shortly n kwamba hawa wat wapo weng sana hapa town so issue ni kuwa makn ila me nkibahatka kumpata m1 macho yke yatakuwa halal yangu.

kuna mwingine anajiita shafik adam
 
kweli huyu mtu hatari sana
huyu jamaa nashangaa sana hta mimi alishanitumia msg,nikmjibu nataka nimpigie tuzungumze hakujibu na wala mpaka kesho hapokei simu yangu .nilitaka nimbane vitu viwil vitatu.

sasa kinachoudhi ni kwamba basi wana mtandao mkali san ambao wanapost vacancies kwenye social ntwks na mtu ukiiapply wanakuja na tricks hizo.Ila hawatotupata kwa style hiyo.
kwa mfano waliweka kwenye zooom Tanzania nafasi za customerservice officers from DELTA SUPERMARKET.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom