Recent content by Izoba

  1. I

    Nafasi ya kazi: Mwalimu wa Biology/Chemistry na Geography

    Anatakiwa mwalimu wa Biology/Chemistry na Geography(CBG). Ataajiriwa kama part time teacher Awe anakaa Kigamboni (Kuepuka ghrama za usafiri). Ajira iko Kigamboni. Awe na shahada ya chuo kikuu au Diploma ya uwalimu. Mwisho wa kupokea maombi ni 20/12/2017 Tuma CV na Vyeti vyako Kupitia email hii...
  2. I

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Sebastian Lukiza Kinyondo Lutilutungenyama, Kalinjuma,Kemikimba, Zimbile
  3. I

    Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

    Acha kutukana wanakagera wewe!Fanya utafiti ujue vizuri.
  4. I

    FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

    Kujenga mnara kufika mbinguni kwa Mungu? :D Hayo yalikuwa mawazo ya Kipuuzi, ndiyo maana kazi ikastishwa mara moja ili waendelee na kazi zitakazowaletea faida na si kupoteza muda, nguvu na rasilimali. Swali:Kwani Mungu anapatikana wapi?Anapatikana juu? :D:D
  5. I

    Wanamazingaombwe ni watu wa namna gani na kwanamna gani wanapata uwezo wa kufanya yote?

    Kwanini ziwe nguvu za giza zisiwe nguvu za Mungu?Kama tunazungumzia kutembea juu ya maji,mbona Yesu mwenyewe alitembea juu ya maji?Kuna watu wa Mungu wanafanya miujiza mpaka unashangaa kwamfano,mtu alizaliwa hatembea lakini anaguswa akiwa na miaka 50 anatembea.Kama mmoja akitambua namba yako ya...
  6. I

    Zitto, Kafulila washambuliana

    Waungwana hawajigambi kwa vitu walivyotengeneza.Vitu vyenyewe hujishuhudia hata watu walikuwepo.Ingekuwa hivyo akina sir. Isack Newton etal wangewacharaza hata watu viboko kuonyesha vitu walivyogundua.Hakuna aliyejenga daraja hapo wala barabara ni wakandarasi.
  7. I

    Kuna watu hatuna bahati

    Kati ya vitu vibaya dunia hii ni fear.Ukisharuhusu fear katika nyanja zote utakuwa useless.Fear hutokana na mambo yaliyopita au yajayo.Basi usifikirie uliyoambiwa au itakuwaje in the future.What you have to deal with is that of present moment.Hakuna kinachoshindikana chini ya jua.Chamsingi ni...
  8. I

    Tuongee Magazeti STARTV leo mmeboa sana

    Hata matukio star tv uzinduzi wa ukawa hora!
  9. I

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Alikuwa anashindana na engineer hivi anakaa Arusha.Alikuja wakati wa uchaguzi.Wakati mwingine kura za maoni sio determinant.Kuna watu wengi wasio chama kinachoendesha kura za maoni.Tukubaliane kuwa CHADEMA kuna information nyingi.Nimeamini walipomteuwa Ansbert na watu wengi walikuwa wanalisubiri...
  10. I

    Wealth and happiness are granted to few who want them

    Thanks! I've learned something very crucial.
  11. I

    The law of exponential returns

    Oh,thanks.
Back
Top Bottom