Nafasi ya kazi: Mwalimu wa Biology/Chemistry na Geography

Izoba

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
229
44
Anatakiwa mwalimu wa Biology/Chemistry na Geography(CBG).
  • Ataajiriwa kama part time teacher
  • Awe anakaa Kigamboni (Kuepuka ghrama za usafiri). Ajira iko Kigamboni.
  • Awe na shahada ya chuo kikuu au Diploma ya uwalimu.
  • Mwisho wa kupokea maombi ni 20/12/2017
  • Tuma CV na Vyeti vyako Kupitia email hii: vikiseko23@gmail.com
 
Back
Top Bottom