Recent content by Izdoli

  1. I

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Mkuu hapa pweza hafikiii kabisa
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nauza sofa set, vyombo vya biashara ya chakula

    Ingekua hivyo ningeviuza mtaani mkuu wapo kibao wanataka nusu nusu labda nikibadili mawazo
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nauza sofa set, vyombo vya biashara ya chakula

    mkuu nauza vyote kwa pamoja siozi kimoja kimoja
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nauza sofa set, vyombo vya biashara ya chakula

    Mkuu sina mtu wa kusimamia hizo biashara nimeona imegeuka kimada badala ya kuwa biashara.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nauza sofa set, vyombo vya biashara ya chakula

    mkuu bei zipo juu kwenye maelezo
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nauza sofa set, vyombo vya biashara ya chakula

    Bei ya vyote nimewaka pale juu guys, manake nauza vyote kwa jumla si kimoja kimoja
  7. I

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

    RIP Kamanda
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Hamna hofu Simba hata kidogo ladda nyie watani ndio mna hofu ya tano kujiludia tena kabla hamjalipa tano za kwanza.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nauza sofa set, vyombo vya biashara ya chakula

    Hamna Everyn
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Nyoni na Mkude huwezi kuwaacha nje mechi kama hii
  11. I

    JamiiForums Tanzania Nakaribia kumuacha

    Siku hizi ni simamisha utoe hela, yaaani kwa usawa huu kama hujaoa na huna hela ni bore ukaenda kupunguza korodani tu.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nyota za bahati zipoje?

    Eti Toyota mkuu kweli
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nyota za bahati zipoje?

    Haaaa huyo mchungaji ningekua mimi ningeanzisha ngumi hapo hapo huu ni utani kabisa
  14. I

    JamiiForums Tanzania Nauza sofa set, vyombo vya biashara ya chakula

    Waungwana wa JF nauza sofa Tsh 500,000 tu kwa zote tatu, Zipo Ubungo Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi phone No,0713 418 321
  15. I

    JamiiForums Tanzania Verossa inauzwa

    Mkuu Gamaha mi nalitaka hilo gari tafadhali kwa hiyo bei,nilikuwa nasoma kama guest imenibidi nijisajili, ntakupataje sasa.
Back
Top Bottom