Nauza sofa set, vyombo vya biashara ya chakula

Nauza sofa set, vyombo vya biashara ya chakula

Mkuu kwanini unaviuza?

Umebanwa na shida au unahama mji?

Sijui umri wako upoje ila naamin wewe ni kijana

Na naona kabisa vitu hivyo ni muhimu sana kwako in terms of ujasiliamali

Anyway Goodluck mkuu

Naamin utapata mteja ambaye hatakulalia

Mkuu sina mtu wa kusimamia hizo biashara nimeona imegeuka kimada badala ya kuwa biashara.
 
mkuu bei zipo juu kwenye maelezo
Nimeandika hivyo ili kufanya mauzo yawe rahisi kwako, ni ngumu kupata mtu wa kununua vitu vyote kwa pamoja kwa mfano mie nahitaji majiko peke yake siwezi kununua vyote kwakuwa vingine sivihitaji
 
Nimeandika hivyo ili kufanya mauzo yawe rahisi kwako, ni ngumu kupata mtu wa kununua vitu vyote kwa pamoja kwa mfano mie nahitaji majiko peke yake siwezi kununua vyote kwakuwa vingine sivihitaji

Ingekua hivyo ningeviuza mtaani mkuu wapo kibao wanataka nusu nusu labda nikibadili mawazo
 
Waungwana wa JF nauza vitu tajwa hapo juu, pia viko kwenye picha ..sofa ni Tsh 500,000 tu kwa zote tatu, na vyombo vya biashara ya chakula ni Tsh 1000,000 nimeatach list ya vitu hapo chini. vitu vipo Ubungo Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi phone No,0713 418 321
Mku hili jiko ni la kufunika na kama ni la kufunika unauza bei gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom