KATIKA BIASHARA YOYOTE kwa mimi mtanzania lazima ni bargain. hata kama ni dukani am always like that, huwezi sema 6m nikaja na 6m lazima nitabalance naanzia tano wewe unasema ongeza kidogo may be 5.5. then tunafanya biashara. kuna kosa gani mtu akija kwako na biashara ya 6m ukampa ofa ya 5m. ungekua unataka hiyo hiyo 6M ungeanza lbda na 7m or above that!! sawa jombaa?
Make: 2001
Engine: 1G VVTi, 2000 Beams
KM: 119,698
CC: 2000
Accident: Taili ya kushoto iligonga
Bei,5,500,000
Exemption inaisha mwezi wa kumi
Maelezo ya ziada tazama picture,ni PM kama unataka kuongea biashara