Recent content by IZAMA

  1. IZAMA

    President Magufuli must read this fantastic article!

    Uko sahihi mkuu. Naona mtoa mada huenda ni miongoni mwa wahanga na sasa anatapatapa. Huo mfano alioutoa hauendani na hali halisi. Ndio maana katumia kimombo ili watakaosoma wasiwe wengi. Muacheni Rais wetu afanye kazi na bado mtaisoma namba. JPM jana alisema" Ukiona adui anakusifia rudi nyuma...
  2. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Nazidi kukaribisha ushauri zaidi kutoka kwa wataalam wetu
  3. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Asante sana mkuu kwa ushauri wako.
  4. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Pia mwenye kujua kozi za afya zilizopo hapa Tanzania. Naomba anijuze ili tumsaidie mdogo wetu. Asanteni
  5. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Naomba mwenye ufahamu wa kuhusu kozi nzuri za engineering hapa nchini kwa maana ya fursa za ajira au kujiajiri. Mnivumilie wakuu.
  6. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Wakuu wataalam wangu nashukuruni kwa ushauri wenu mzuri. Naombeni mnifumbue kidogo kuhusu kozi nzuri za kusomea chuoni ambazo naweza kumshauri dogo endapo atapitia diploma. Pia mwenye link za kuview anaweza kutupia
  7. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Kwa uelewa wangu ukipitia advansi kila utakachokua unataka kusomea ni unaanza na digrii moja kwa moja. Mfano ukisomea finance and ancountancy halafu kwa baadae ukataka soma psychology unaanza name digrii moja kwa Moja. Lakini ukipitia diploma maana yake hata huko mbeleni ukitaka kusomea kit...
  8. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Lengo lake anatamani kupitia A level maana ndipo atapata nafasi ya kusomea vitu vingi kwa urahisi
  9. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Lengo lake asomee Finance and accountancy mkuu.
  10. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Unamaanisha nini mkuu? Karai?
  11. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Ukweli no kwamba hajasahau kwa sababu kwa vipindi kadhaa amekuwa akifundisha tuition za O- level. Kiufupi yupo vizuri.
  12. IZAMA

    Hebu tumkwamue huyu dogo

    Ndugu wanajamvi habari zenu Nina Mdogo wangu O level alimaliza 2010. Kwa ufaulu ufuatao: Chemistry............... B Maths...................... C Biology.................... C History.................... C Kiswahili................ C English.................. C...
  13. IZAMA

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    9937, member: 37963"]Pengine umekuwa ukiwaza sana nini ufanye ili uweze kufanikiwa na kuondokana na adha za umaskini. Yako mambo mengi ya kufanya mimi nataka kukufungua macho kwa jambo moja tu tena kwa uchache. Jambo hili anaweza kulifanya mwenye mtaji mkubwa au mdogo. Viko vitabu vingi na tena...
  14. IZAMA

    Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

    Usitumie Jina la kanisa kuhalalisha UONGO. Kwa ufahamu wangu misingi ya kanisa ni biblia na si watu wanasema nini. Una ushahidi hilo kanisa la kale walitumia andiko gani la biblia kumpinga Galillee? Kama hawakutumia andiko bac usiseme ni kanisa bali yalikuwa mawazo yao binafsi kwa sababu nina...
Back
Top Bottom