Hebu tumkwamue huyu dogo

Hebu tumkwamue huyu dogo

Nazidi kukaribisha ushauri zaidi kutoka kwa wataalam wetu
 
Mwambie asome private candidate maana hana sifa ya kufanya mtihani wa advance as public candidate
 
kwanza umri umeenda mwambie aachane na mambo ya a-level,banking&finance
mpeleke vyuo vya afya asome clinical medicine au pharmacy hakika hatojuta
 
lkn cku hizi kuna form v na six kwa mwaka mmoja...xo anaweza jiandikisha as a private candidate na akafanya mtihani wa form six....cha muhimu asome tuition ajiandae vizuri...nb wajuzi wanaweza nirekebisha nlipokosea
 
mkuu ipeleke kule jukwaa la elimu watakusaidia sana wadau wa kule,kuna vichwa vilivopitia mengi sn kule...hili sio jukwaa sahihi kwa hii thread yko ndo mana hata michango imekuwa finyu.
mkuu ipeleke kule jukwaa la elimu watakusaidia sana wadau wa kule,kuna vichwa vilivopitia mengi sn kule...hili sio jukwaa sahihi kwa hii thread yko ndo mana hata michango imekuwa finyu.
Kwani hili ni jukwaa gani?
 
Back
Top Bottom