Recent content by Izack Mwanahapa

  1. Izack Mwanahapa

    Nchi ya kusadikika na kisa cha binti Mfalme aliyebakwa; Baba wa binti anapofurahia kishika uchumba badala ya mahari

    Kwa takriban siku themanini (80) watanzania wamekuwa wakisubiri kwa hamu kupata mrejesho wa kile kinachoitwa "Majadiliano ya Makinikia kati ya Serikali na kampuni ya Barrick Gold" kiu kubwa ya watanzania kusubiri kwa hamu sana mrejesho huo ilitokana na matumaini makubwa yaliyotolewa na Serikali...
  2. Izack Mwanahapa

    Wapinzani Msione AIBU kuwapokea wahanga wa Demokrasia kutoka CCM

    Nianze kwa kutoa pole kwa wanasiasa waliopatwa na janga la kufukuzwa uanachama na chama cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni kwa madai ya kukisaliti chama chao katika uchaguzi mkuu wa 2015. Nawashauri wapinzani Wapokeeni tu wageni hao wakija na ikibidi wafuateni Muwashawishi wajiunge nanyi katika...
  3. Izack Mwanahapa

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku kuwatangaza watuhumiwa wa Madawa bila uhakiki

    Hehe, Mkuu hili ndio jibu la swali lililoulizwa hapo?
  4. Izack Mwanahapa

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku kuwatangaza watuhumiwa wa Madawa bila uhakiki

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kasim Majaliwa ndiye Mwenyekiti wa Tume ya kupambana na dawa za kulevya nchini. Hivi majuzi akiwa kwenye kikao cha kwanza cha kamati hiyo ambacho ndio kiliizindua rasmi kamati hiyo alitoa tamko kwamba: "Watuhumiwa wa dawa za kulevya wasitajwe...
  5. Izack Mwanahapa

    MATOKEO HUHALALISHA MBINU au MBINU HUHALALISHA MATOKEO?

    Kuna mazingira yanayonipa wasiwasi sana kwa namna mambo muhimu kwa mustakabali wa taifa na mikoa yake, yanavyoendesha katika awamu ya tano. Inaniumiza kwamba nia, dhamira, na malengo mazuri kabisa ya kufikia matokeo yanayotakiwa yanaharibiwa kwa mbinu (hila, fikra, ubabe, uonevu ) za ovyo...
  6. Izack Mwanahapa

    Kwaheri UKAWA Kwaheri UKUTA

    U WAPI UKAWA ULIOTUMAINIWA NA WENGI ? Watu wataendelea kufeli tu na kufanya siasa za mitandaoni kwasababu ya kuhubiri wasiyoyatenda. Ni hivi majuzi tu kutokana na ukweli wa dhana kwamba "Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu" baadhi ya vyama vya upinzani viliunda umoja wao wakauita "UKAWA"...
  7. Izack Mwanahapa

    NI MWISHO WA DEMOKRASIA NA VYAMA VINGI TANZANIA?

    Baada ya nguvu kubwa kutumika kuzuwia kuonesha bunge live na kamati ya Maadili kutumia meno yake kunyamazisha baadhi wabunge mahiri wenye hoja kinzani kwa kuwafukuza bungeni. Siku chache zilizopita jeshi la polisi Tanzania lilitoa tamko la kuzuwia Mikutano ya Hadhara na Maandamano kwa vyama...
  8. Izack Mwanahapa

    Serikali kukomesha kizuri cha Mabenki ya Biashara

    Dah! hatari sana hii. Waraka huo wa kusitisha umetolewa wapa na lini ?
  9. Izack Mwanahapa

    Serikali kukomesha kizuri cha Mabenki ya Biashara

    HONGERA SERIKALI KWA JITIHADA ZA KUMALIZA KIBURI CHA MABENKI YA BIASHARA Hatua ya Serikali kuhamishia fedha zake zote kutoka kwenye mabenki ya kibiashara inatajwa kuwa inalenga kumaliza kiburi na mikogo ya MABENKI ya biashara dhidi ya wafanyabiashara na wajasiriamali wa kawaida. Tanzania...
  10. Izack Mwanahapa

    Ujenzi wa ajira mpya sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na tatizo kubwa sana la ajira kwa watu waliofikia elimu ya juu, elimu ya kawaida ya sekondari na elimu ya msingi. Ni wazi kwamba kutokana na ukubwa wa tatizo hili kila mmoja wetu anapaswa kutoa mchango wake utakaowezesha kutanua wigo wa ajira iwe ni kwa...
  11. Izack Mwanahapa

    Busara itumike ziara za kushitukiza sekta binafsi

    Jana katika vyombo vya habari imeripotiwa kwamba mmiliki wa Fore Plan clinik amekimbia kituo chake kutokana na ziara ya Kushitukiza ilivyofanywa na naibu Waziri Dr. Hamis Kigwangala. Habari hii ya Dr. Mwaka waandishi wameiripoti kishabiki sana. Hakuna aliyemuona Dr. Mwaka akimkimbia naibu...
  12. Izack Mwanahapa

    Ni kweli vyama vimeachwa na jeshi la mtu mmoja ?

    Unauonaje hii unadhani ni kweli kwamba Magufuli anafanya siasa za juu ya vyama (zisizo na unazi wa vyama) kama wasemavyo baadhi ya wananchi?
  13. Izack Mwanahapa

    Julius Mtatiro ageuka na kuwa Kigeugeu

    Andiko la Mtatiro lililomgusa Mafundisho hili hapa: WHERE IS CCM? (CCM IKO WAPI?) Na. Mtatiro J, Rafiki yangu mmoja leo amenivunja mbavu , ananiambia juzi alimpigia simu kiongozi mmoja wa juu wa CCM ambaye wakati wa kampeni alikuwa ni kati ha watu 50 muhimu waliosimamia, kupigania na kulinda...
Back
Top Bottom