Ujenzi wa ajira mpya sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
497
236
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na tatizo kubwa sana la ajira kwa watu waliofikia elimu ya juu, elimu ya kawaida ya sekondari na elimu ya msingi.

Ni wazi kwamba kutokana na ukubwa wa tatizo hili kila mmoja wetu anapaswa kutoa mchango wake utakaowezesha kutanua wigo wa ajira iwe ni kwa kuajiriwa au kujiajiri.

Kutokana na nchi yetu kuwa na eneo la kutosha linalofaa kwa kilimo, ufugaji (wa wanyama na samaki) pia uwepo bahari, maziwa na mito ianayoruhusu kufanyika kwa shughuli za uvuvi.

Je, unafikiri katika Tanzania NINI KIFANYIKE ili sekta hii ya kilimo, ufugaji na uvuvi iweze kuzalisha ajira mpya nyingi zenye tija kwa watu wetu?
 
Back
Top Bottom