Na thread wameisoma, Ila wameogop kukoment nilikuw nasoma comment mojamoja
Mwitalia feki[emoji1787][emoji119] na mnyakyusa mkorogo.na wewe mkaka ulontumia pic ako dm na kijibagalashehe chako ka usama [emoji1787]
Skuingine msludie Tena kuwa wanafki na waongo
Mnaifanya jf kuwa Kama...
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sijapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nini Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie simu usiku nina mke Mara naogopa tutagombana.
Wakat inbox unanitongoza unadai upo single chefu[emoji25]...
Ulemavu utapata wewe mjinga usie na akili timamu eti nimekutapel elfu 50 hahahah dua la kuku halimpati mwewe na ukae ukijua akuna laana za machoko zinazotiki kwa watu smart labda machoko wenzako
Sina MDA wa kuandika thread y kusingiziwa Nina Mambo chungunzima ya kufanya na si kudeal na wapumbavu ambao hawanisaidii lolote ktk maisha ...Fikilia MTU ameamua kukuchafua acha akuchafue maana wakat wa Mungu kumuumbua si mbali na Nina uhakika kabisa sjatapel ndiomana sipapaliki na thread za...
Uyo wa kimara ndio nipo nae mpk Sasa na alinitumia 7000 baada y Mimi na uyo anaedai nimetapel elfu 50 kutoelewana maan yy hakuwa anaitaj mke Ila sexing
Sijala pesa yake yoyote Kama ww NI mtaalamu wa miamala uchekeche uo MUAMALA Apo uone ni edited tu ndugu yangu Karne hii ngumu mwanaume kukutumia Ela ingawaje hakujui Tena elfu 50?? Icho kitu akipo
Tulishindwana sehemu moja tu YEYE alitaka mapenzi tu Yani nilale nae kwa usiku mmoja akasema nitakupa fedha elfu 50 ukija tufilane nikamtukana nikamwambia mm sio sifiran na istoshe naitaji mume sio SIJIUZI najieshimu Sasa nazan alichokasilik ni mm kumblock baada y kunijibu shombo nilivyomwambia...
Napika mitai natembeza nimeuza sijauza sikati TAMAAA na ikitokea mtu anataka kusuka namsuka kuanzia nywele za jero adi za elfu 18000( knotless).
Japo Kuna wakati Mambo hukaza mpaka unatamani kukufuru Ila MUNGU MWEMA KILA WAKATI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.