HENOCK ENONGA ALITUCHOMA, HUYU JAMAA NI DUMA, NI MTU WA MASLAHI TU ANATUMIWA SANA, SISHAURI KUENDELEA NAYE I MSIMU UJAO
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hii inaweza kuthibitika Leo kwani marefa wanapochezesha mechi ya yanga na Azam mara nyingi wanacheza chini ya kiwango Chao na mechi kuonekana Kama vile bahasha imetembea.
Wachezaji wa Azam hawaonyeshi kujituma Sana. Hivyo mechi kuwa ya upande mmoja.
Haina haja ya mashabiki kuingia uwanjani...
Uongozi wa nmb tawi la manonga shinyanga umeshindwa kufanya kazi yake kikamilifu kwa kukataa kuwapitishia wananchi hundi zao hasa. asilimia kubwa ikiwa watumishi kwamba eti wamesaini tofauti na saini zao.
Hii ni aibu kubwa mtu kuambiwa saini siyo ya kwake wakati anasaini kula Mara, huyo Dada...
Kwakweli tumechoka na kukatika umeme Kila siku.
Hivii tanesco shinyanga mnashida gani? Kila siku mnajifanya kutengeneza maeneo mbalimbali Kama vile didia.
Leo hii mmekata umeme zaidi ya mara 3, Hadi usiku huu umeme umekatika.
Mnasababisha wananchi waichukie serikali.
Sasa imekuwa too much...
Ziara ya katibu itikadi uenezi na mafunzo wa CCM siyo ya kubeza. Ziara hii ni karata muhimu Sana kwa Serikali. Nimeona watu wakitoa kero ya kupoteza wenzi wao kutokana na dhuluma ya Mali zao, wengine wakitekwa na kupotezwa hawajulikani walipo utadhani viongozi ngazi ya Kijiji, kata, wilaya na...
Hii ni dhahiri Sasa kwamba baleke ametumwa kuihujumu Simba, hivi inakuwaje unalipwa mshahara halafu unatenda kinyume na maadili ya timu Kama mtumishi.
Hi haikubaliki Bora waondoke tu.
Aidha tujipange upya kuelekea mapumziko haya. viongozi wafanye usajili wa uhakika siyo Kama baleke
Kocha aanze kuwaamini vijana ambao naona watampa mafanikio.
Was hezaji Kama Mohamed Musa, hamisi na chilunda ni wachezaji wazuri awaanzishe hao wengine Hadi kamati ya ufundi ikae vizuri, .
Mchezaji Kama chama anatakiwa apumzishwe
Lakred naamini ndiye kipa no 1 Simba sports club
Anayefuatia kwa ubora ni ALLY SALUM
Manula tangu apigwe goli 5 namwona siyo mzalendo kwa timu, Ana tamaa sana
Wananchi wa Kijiji cha Mwakitolyo wilayani shinyanga wanaathirika kwa kiasi kikubwa na vumbi linalosababishwa na magari makubwa yanayosomba mawe ya dhahabu kutoka Kijiji Cha nyaligongo kwenda mgodi was ZEM DEVELOPMENT unaomilikiwa na Wachina.
Viongozi simamieni hilo kwani afya za watu wanaoishi...
Hivyo ndivyo ilivyo na mnapaswa kujiandaa kisaikolojia katika mchezo huo kwani mtapigwa goli za kutosha.
Hiyo misuli inaweza anguka uwanjani na kupata aibu kubwa.
Huyo kijana msemaji wenu amefanya kosa kubwa Sana kuwaelekeza kuvaa misuli.
Mashabiki chondechonde msifuate maelekezo hayo.
Huyu Mwenyekiti ajitathmini na afanye maamuzi ya kupumzika uongozi, kutoka na upepo unavyoelekea atapata wakati mgumu Sana.
Mangungu aachie ngazi kwani Hali ya timu siyo nzuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.