Kizazi cha Nyoka kitazaliwa kwa wingi nyakati zinazokuja.
Bwana , Yesu Kristo uturehem haukuwa mpango wako tangu uumbaji wako .
Ni akili za binadamu na mpango wa yule Muovu kuendeleza uzao wake usiotokana na Asili ya uumbaji.
Zab 27:1
Bwana ni nuru yangu na wakovu wangu
Mithali 1:10
Mwanangu wenye dhambi wakikushawishi, WEWE usikubali
Hos 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Makonda kila eneo aliloteuliwa kajulikana, Huyo mtu wako uliyemleta hapa na wakuu wa Mikoa na Wilaya kabla ya kuteuliwa kwenye hizo nafasi walikuwa na majukumu gani mbona atuone utendaji wao wa kazi huko nyuma.
Kigezo cha mtu kujulikana akianzii sasa hivi angalia miaka 10 uliyopita.
Ukiwa Mkuu...
SADEC wamezuiawa kupigana vita huko na mashambulizi ya ndege pia yapigwa marufuku
Lile shambulizi la Jeshi la Tanzania kuwapiga M23, M23 wakaandika barua UN na America naye akaingilia SADEC wakazuiawa kupigana Jeshi la SADEC lipo kati miji ya Sake na Goma hawatoki kwenye hiyo Miji
Wanatoa...
Kuna jambo ambalo watu wengi hawajui kuhusu Congo na SADEC
Jeshi la SADEC kule Congo limezuiliwa kupigana vita badala yake wanatoa msaada kwa jeshi la Congo.
Mwazoni Jeshi la SADEC lilikuwa linapigana kuna mashambulizi yalifanyika Jeshi la Tanzania, M23 wakapeleka malalamiko UN maamuzi...
Kitu kisicho julikana Jeshi la SADEC limezuiwa kupiga vita na American
Jeshi la SADEC wanatoa msaada tu vifaa
Baada ya Jeshi la Tanzania kufanya mashambuliza , M23 wakapeleka malalamiko UN kwa kuandika barua.
Maamuzi yalifanyika SADEC wamezuiawa kupigana Vita
Wazari Mkuu wa Dola ya Umedi na Uajemi (Iran) Hamani bin Hamedatha, Mwagagi alishindwa kuwaangamiza Wayahudi miaka mingi iliyopita kabla ya Mfalme wa Wafalme hajazaliwa. Silah Ile ile aliyoiandaa Waziri Mkuu wao ili kumtundika Mordekai (Israel)badala yake wakamtumdika yeye Mwenyewe Waziri Mkuu ...
Sio kila Ugonjwa mwanadamu anao umwa ni mpango wa Mungu
Shetan anaweka Giza katika miili ya watu na ilo Giza linasababisha Mgonjwa Kansa, kisukari na Mgonjwa mengi ili uhai wa mtu uondoke.
Ukidondo ghafla ukafa watu wanasema ushirikina uchawi nao sasa hivi umeendelea wanakwepa Wasiwasi
Tufata...
Sijatoa ushauri wa kuponywa,
Yeye amtafute Mungu kwa bidii
Kuna utofauti wa kutafuta uponyaji na kumtafuta Mungu .
Watu wengi wanakimbilia uponyaji badala ya kumtufata Mungu
Mungu anakupenda sana, siku zote anatafuta watoto wake walio tayari kuyaishi mapenzi yake.
Unaweza kuzunguka kutafuta matibabu usipate
Lakini Mtazame Yesu kristo amefanya kazi kubwa isio elekeza pale Msalabani. Ishi ndani yake nawe utaishi ndani yake. Anachohitaji ni kushika Amri zake,Sheria...
Kuna kitu kinaitwa ndoto, ufunuo na Maono
Mungu huwa unazungumza na wanadamu kupitia Ndoto
Maono na Ufunuo ni kwa wale wanadamu wapo wanaomwabudu Mungu kwa roho na kweli.
Ndoto unaoyoota Mungu anakufikiashia ujumbe hali yako ya kiroho Siyo Nzuri ipo chini inawezekana ikawa wewe ni mchawi...
Usisahau kutoa ZAKA kwa Mungu wa kweli kila fedha unazopata ni ulinzi juu ya Maisha yako na kazi yako .
Kuna kuwa na Kafara kwenye madini wahusika ni wafanyakazi.
Maneno huwa yanaumba.
Ulimwengu wa Roho ndio unao tawala ulimwengu wa Mwili.
Unajuwa kabla hajaandika hii habari aliwaza na kufikiri sana baadaye akapata jina la mada “
Bora kuwa mbwa Ulaya kuliko kuzaliwa Tanzania
ugumu wote katika maisha yake yameanzia kwenye ulimwengu Roho baada yanakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.