Mkuu hiyo ni ndoto yenye dalili nzuri sana kwa maisha yako, inaashiria ukiweza kutumia vizuri fursa na uwezo wako uliopewa utafika mbali na kuwa juu ya wengi. Utavuka viunzi vingi maishani wa urahisi kuliko wengine, ila yahitaji ujitume na uwe na nidhamu binafsi.Nimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Iyo Ndoto inamaanisha Nini kwa wajuzi WA mambo ya Ndoto?
NB: Wengi huota ndoto hiyo na kuichukulia kawaida ila iina maana kubwa
