Tume iliundwa ili kushauri namna bora ya ukusanyaji na upangaji wa tozo hizo. Ni wapi uliambiwa tume imeundwa kuja kufuta tozo, kama suala ni kufuta ingefutwa tu pasipo kuunda tume.
Halaf mtaani tunaambiana maneno ya kipumbavu eti uzalendo. Hivi kweli Spika hata huruma hana mtu amepona kimiujiza bado mnasema hamjui alipo kweli !?
Kipindi kile Makamu wa Rais alienda kusalimia kivuli ?
Ila watawala waendelee tu hakuna shida ila watajuta wao na vizazi vyao.
What the Speaker has done to Tundu Lissu is totally Inhuman. How can you make accusations of the like to the person who was short by armed gunmen in broad daylight ?
The speaker from today onwards spiritually will regret this, he will be haunted by this tragedy and at the end of the day he will...
Mkuu huko kufumbia macho ndio kunaposababisha Taifa linakosa muelekeo na ndio maana wanasiasa hawatoacha kucheza na maslahi ya nchi hii mpaka tutakapoamua kuchukua hatua ya kurekebisha suala hili.
Taharuki gani !? Ilhali wananchi wana haki ya kujua chochote kihusucho maisha yao kwa ujumla.
Labda ungesema wanajitulizia wao taharuki maana hata siku moja hawa viongozi hawajawahi kuwa upande wa wananchi kuna mambo mengi sana tunafanyiwa ya kipuuzi.
Ukiniuliza leo kwamba najivunia nini kwa...
Kumbe hadi wenyewe wanakiri kuwa uchumi wa Nchi umeharibika. Swali ni kwa nini Serikali hii pamoja na viongozi wanatumia nguvu kubwa kutuaminisha hali ni shwari !?
Haya yote yanafanyika kwa manufaa ya nani wakati wenye nchi ni Watanzania na sio viongozi wa Kisiasa.
Ifike mahali tusifanyane...
Ukiconnect dot unaweza kuhisi nguvu ya Gwajima leo imeshtua watu...
Mzee wa kusaga kokoto ukatoka unga..
As far as nchi hii ina mtindo wa kuficha matukio isije kuwa wanatutoa kwenye reli ili Gwaji boy asitoe yake..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.