Recent content by Itufae

  1. I

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Since 2017 wimbo umetoka nikiwa Makongo pale nilifahamu hilo.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Radio Free Africa na waganga wa kienyeji

    Zimekua kama Radio za Dini za Mbeya. Katikati ya wimbo wa dini wanaweka tangazo la mganga flani 😂😂
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amesema amenichoka, amechoka na anaomba nimpe nauli aende kwao

    Bro nafasi ndio hii, haiwezi kujirudia. Malizia moira wavuni
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia?

    Hapa kinachofanyika na viongozi wa nchi ni kuendelea kutengeneza matabaka mawili ya watawala na watawaliwa. Hakuna mbunge wala waziri wala rais wala makamu wake wala waziri mkuu wala majaji na watu kama hao waliostaafu wanawapeleka shule za kawaida watoto wao. Wengi ni international schools au...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Kwa upande wangu naamini Mungu yupo, hasa nikiangalia ulimwengu ulivyo na viumbe viishivyo ndani yake. SISI binadamu ni wanyama lakini tunaupekee wetu tofajti kabisa na wanyama wengine. Kuhusu Biblia. Biblia ni kama kitabu kingine tu chenye hadithi mbalimbali. Biblia ina bitabu vingi sana...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

    Ngoja wafuasi wake tujipange kukujibu, tutarudi soon 😂😂
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Israel Kijeshi

    Ngoja Wayahudi tujipange tutarudi hapa soon.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Ni dhambi nakubali kabisa. Ila hizo complication za kutafuta mtu aliye okoka kwelikweli umweleze shida yako unatudanganya na unawakwamisha watu wengine ambao wanatamani kumrudia Mungu wao
  9. I

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Acha kudanganya watu. Kujua biblia na kuichambua haikufanyi ujitungie vitu ambavyo havipo huku ukirecall mistali ya biblia.. Labda utufafanulie, kwani biblia moja ina Agano la kale na Agano jipya?? Vitabu si vingejipanga tu bila kuvi categories agano la kale na agano jipya??
  10. I

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

    Hongera sana Kamanda. Angalizo: Raia wasiwe majaribio ya ukakamabu wako kama tulivyozoea kuona
  11. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    😂😂😂 Wanaume tunasuffer vitu vinavyofanana.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

    Kwa kifupi, mfumo mzima wa serikali haupo kwa manufaa ya raia walio wengi. Sheri wanazotunga ni zile ambazo haziwagusi wao kabisa. Jeshi la polisi lipo kuwalinda walio wachache na si kulinda mali na usalama wa raia. Kuzaliwa mtu mwesi imekua kamalaana by default. Wananchi hawana maji, hawana...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee wanajeshi utasikia wanapiga Raia

    Asante kwa kunisaidia. Nikisahau kuweka neno Kusini mwa jangwa la Sahara
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee wanajeshi utasikia wanapiga Raia

    Mimi naamini sana hiki kitu. Mambo tunayofanya waafrica ingekua ni TV program, watu wangependelea sana kututazama. Laana tuliyopigwa Africa ni Mungu pekee anaweza kuja kuitengua
Back
Top Bottom