Recent content by Itovanilo

  1. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Mbona ni mrembo tu, Vipi mkuu ulishapita hapo ukaona kuta zimelegea? Au yale yale ya sizitaki mbichi hizi?
  2. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Mdude mbona plugs hazichomi hili lipo wazi
  3. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Biashara yeyote inayolipa unaiachaje mkuu [emoji23]
  4. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Umeandika kwa uchungu sana
  5. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

    Amkabe Cr7 labda kama ilikuwa ni uchochoroni[emoji23]
  6. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania Mgunda atatuvusha Afcon, Sina Shaka nae

    Kazi ipo huko Abdjan[emoji23]
  7. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi ya kuandaa Movie inakukosha?

    Universal
  8. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania Rosa Lee na kibao kipya mjini, ina too deep

    Nimesikiliza huu wimbo japo kajaribu kusound kama Nick Minaj au Cardi B lakini kiukweli kujitahidi sana kuflow kizungu ambacho wengi wetu wanashindwa kwani hata wakiandika vizuri mistari ya kimalikia lakini kwenye matamshi kinawapiga chenga. Hongera Rosa Lee, hii ni ladha mpya mjini. Wimbo...
  9. Itovanilo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana tutapataje wake wema? Hata kama siyo bikira tunaweza jivunia kuwa nao?

    Hivi wewe mwajuma upoje, Uliaga unaenda Kariakoo ikawaje uende kigamboni? Hujui hivi ni vyombo au unataka watu tuonekane waongeaji,alilalamika Sofia Haaaaa Da Sofi mambo gani hayo unasema kwani umesahau nilikwambiaje,si nilisema yule nisipomkuta dukani kwake basi nitavuka maji hadi nyumbani...
  10. Itovanilo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana tutapataje wake wema? Hata kama siyo bikira tunaweza jivunia kuwa nao?

    Aisee nimeedit hii ni ya mwaka huu ni kama wiki tatu tu zilizopita,hii simu nimeikaririsha vitu vingi
  11. Itovanilo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana tutapataje wake wema? Hata kama siyo bikira tunaweza jivunia kuwa nao?

    Habari jamii forum,hope mu wazima mpaka mme log in humu basi mambo ni yente. Bila kupepesa macho kisa kipo hivi, Mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja mwaka huu 2023 nilikuwa natoka job,nikiwa natembea fasta kuja zinapopark Bajaj ili nidandie na kuelekea maskani. Basi kutokana na mvua za hapa na...
  12. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ahsante sana mkuu , nimeelewa
  13. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu maofisa ubashiri naomba kuuliza,hasa Sportybet Kwa mfano ukiflex mkeka wako wa mechi kumi na tano , halafu zikachana mechi tatu unalipwa? Au utaratibu ukoje, maana Kuna jamvi lilikuwa na mechi 15 zimechana tatu lakini , hawaneshi nimewin au lost , je inakuwaje? Nitashukuru kwa ufafanuzi...
  14. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Aziz kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Master key [emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172]
Back
Top Bottom