Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

Unamlinganisha na nani?
Tafuta watu waliopita hapo wakwambie sebuleni kulivyo!
Wahenga wanasema Jeneza kwa nje lina chokaa na tiles ndani kuna mifupa inanuka.
Mbona ni mrembo tu,
Vipi mkuu ulishapita hapo ukaona kuta zimelegea?

Au yale yale ya sizitaki mbichi hizi?
 
Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.

View attachment 2879532
Njaa haijawahi kumwacha MTU salama! Kama wanamume tu, wanashika adabu, hawa mabinti, wasingeweza pona,
Sio jambo la ajabu, aliondoka Lowasa, sumaye, then wakarudi tena huko huko,
Huyu binti, ndio kapotea jumla,anatibu njaa ya Leo, Ila, anakuwa ndumila kuwili,
You can't just wake up one day, and change from "democratic to Republican! How, do you change an ideology! Unless you were clook from a word go! Fucking pathetic
 
Siasa kama Mapenzi tu na Wabunge wa viti maalum kama Madanga(tabia za kimalayamalaya) tu wanahamia palipo na uhakika wa Pesa/teuzi.

Hoja ya chadema ya kuondoa mfumo wa viti maalum na kuwaingiza wanawake katika mchuono wa kawaida itasaidia sana kuondoa wanawake wa hovyo hovyo wenye tabia za kimalayamalaya bungeni.
Imepenya hiyo sio Kwa povu hili 🤣🤣
 
Back
Top Bottom