Mimi nipo shule moja ya binafsi, Moshi, tupo bize Sana na watoto!
Kila sekunde ina kazi kwa mwl na mwanafunzi!
Kila ijumaa nasaini elf 50 ya remedial, salary yangu 1m , kila baada ya miaka 2 nachukua gratuity isiyopungua 5m.
Serikali ikifanya vivo mbona hata mimi nitahamia !
Serikalini hata...
Iko hivi, NECTA wanatuma inventory form kwa Mkuu wa shule ajaze majina ya walimu anaowaamini kwenye uchapaji kazi. Ikishajazwa anaituma BARAZA [confidentialy], BARAZA wakipokea hayo majina wanayaweka ktk database yao, wanaweza wakachagua jina lolote tu kulingana na uhitaji wao. Baadae muda...
Hilo la Hillary linaeleweka!
Wamarekani walishaapa hawatokaa waongozwe na mwanamke!
Makonda alikosea kuongea yale kwa kadamnasi!
Will cost him this time! (Nimeuliza huyu jamaa anatoka mkoa gani?)
Naomba msaada, kuna hii form ya registration :-
Student's details :-
Programme:-............?
School :-.........?
College :........?
Department :........?
Nakuja kusoma Baed (geog & political science )
Hapo juu najazaje wakuu.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.