The topic was about the former first lady been MP was a demotion to her. Hillary Clinton was former first lady after she be came MP. He did not ask about contribution to society nor who will be remarkable in the state house. Stay with the topic my friend!
Kila nchi iamuwe kivyake kwanini waungane? Hatuna rais wa EAC kwanini tusumbuke kama Kenya inaona watakuwa na manufaa basi waongee na EU nikataba yao. Ni maoni yangu!
Wasomi wanajua umhimu wa maisha. Wanachagua sehemu bora ya kuisha kwa mapato mazuri yanayokizi mahitaji ya familia zao. Leo hii uniambie niende huko dar nikatafute kazi baada ya kua nje kwa miaka mingi. Mazoea ya kazi ni ya nje ya nchi sasa niende Dar kila baada ya masaa mawili ni muda wa soup...
Ndio hao wanadini wanatumia masikini kujitajilisha na siasa itapitia hapo kukuza jina sala za kichrito na kiislam wapi na wapi. He need to know his core values instead of searching for one!
Huko TZ itabidi kutunga sheria ya kuomba mtu unaeongea nae kama anakubali kurekodiwa wajati wa maongezi. Hii sio sawa kabisa kuchukua maneno ya mtu ili kukusaidia wewe na familia yako. Tusishabikie maneno mabaya, she was wrong and I hope some got something about her. This guy wa helping on that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.