Recent content by issawema

  1. issawema

    Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    hizi dawa unakunywa zote kwa pamoja au?
  2. issawema

    Natafuta kampuni ya usafirishaji au dereva wa kusafirisha vitu vya ndani

    yeah ndo maana nmetaka ata dereva ambaye anaelekea hko karibuni kufata chakula au chochote,pia ntafata ushaur wako
  3. issawema

    Natafuta kampuni ya usafirishaji au dereva wa kusafirisha vitu vya ndani

    Natafuta kampuni au dereva anihamishie vitu kutoka Dar kuelekea Mafinga na vitu vya ndani kitanda kabati etc...kwenye tar 26 au 270 mwezi huu. Kama unainua kampuni au ww ni dereva ni PM contacts zako nkutafute. Aksanteh
  4. issawema

    Nina 8M nahitaji Toyota Allex, RunX au IST

    mkuu ulipata gari vip uzoefu wako mpaka sasa kuna mrejesho wwte utawapa ambao wanastuation kama yako
  5. issawema

    Nauza Fridge pamoja na washing machine bei chee

    mkuu kula 450k zote mbili nakuja kuchukua mzigo kesho kama upo seriouz nichek 0758054029
  6. issawema

    Je,unafahamu Maisha halisi ya ASP Muhammad Kirumira*?

    we dogo mbna umeleta uswahili wa kuanzisha ktu alafu unaishia njiani? au umejiteka tena
  7. issawema

    TCRA, mtafuteni aliyechomekea picha hii ashitakiwe kwa upotoshaji!. Watu wataaibika na kuonekana hawana maana!.

    lizaboni kateuliwa nyadhifa ipi mkuu? hii ilinipita Sent using Jamii Forums mobile app
  8. issawema

    IGP mbona anashushiwa heshima!

    Hayo mahaba na police umeanza lini?
  9. issawema

    Nikinunua kingamuz cha Dbv t2 china au Usa nitapata local channel bure???

    me nna decoder ya star yime ile ya zaman inatumia antenaa naona local channel zote free, sasa nataka niipeleke mkoani vipi ntaendelea kupata huduma kama nikiiunga na dish dgo??
  10. issawema

    Nani anafanana na haka katotoo humu chit chat

    alaf badae mje kuanza kulalamika watoto wetu wanaharibiwa na walimu
  11. issawema

    Huu ushindani wa kibiashara wa mabasi ya mkoa nimeupenda

    si useme tuu ni first choice, wale jamaa wako vizur sana
Back
Top Bottom