Mashine kilo nfapiNauza fridge aina ya LG
Milango miwili bei 270,000/=
View attachment 868824
Pia Washer machine aina ya WESTPOINT
Bei 230,000/=
View attachment 868826
Mawasiliano 0755662204
Unaweza kuja kuona na kuridhika navyo napatikana Dar
Sababu ya kuuza.:Nahamia mkoani mwezi ujao
Fridge nakupa 200 kamili kiongoziNauza fridge aina ya LG
Milango miwili bei 270,000/=
View attachment 868824
Pia Washer machine aina ya WESTPOINT
Bei 230,000/=
View attachment 868826
Mawasiliano 0755662204
Unaweza kuja kuona na kuridhika navyo napatikana Dar
Sababu ya kuuza.:Nahamia mkoani mwezi ujao
mkuu kula 450k zote mbili nakuja kuchukua mzigo kesho kama upo seriouz nichek 0758054029Nauza fridge aina ya LG
Milango miwili bei 270,000/=
View attachment 868824
Pia Washer machine aina ya WESTPOINT
Bei 230,000/=
View attachment 868826
Mawasiliano 0755662204
Unaweza kuja kuona na kuridhika navyo napatikana Dar
Sababu ya kuuza.:Nahamia mkoani mwezi ujao
Unapatikana kibaha?Mkuu vipeleke posta wanakusafirishia kwa gharama nafuu sana. Sikushauri kuuza vitu vyako eti kisa tu unahama mkoa.
Kuna jamaa yangu alihamishwa kikazi kutoka Kibaha kwenda Mbeya. Alikuwa na furniture na vitu kibao TV, Fridge n.k alivipeleka posta na vilifikishwa Mbeya ndani ya siku tatu tu kwa gharama nafuu sana.
Mike imekufaHiyo firdge ina matatizo gani?
duh.....sasa nitaangaliaje mikanda ya bongo movieMike imekufa
Bora huyu ana sababu. Kuna wale wanauza tu ili wapate helaMkuu kuna wakubwa waliwahi kuniambia ukinunua vitu vya ndani ukiona umeanza kuuza ujue basi kazi kwisha wewe
HahahahahaaaaMike imekufa
Mkuu kama bado una mpango wa kuuza nataka fridge
Awwwww... Akinijibu nakuita unichukulie.Nitakununulia kama bado lipo nijulishe 🙂
Awwwww... Akinijibu nakuita unichukulie.
Asante mkuuBila shaka