Recent content by Issah festo

  1. I

    JamiiForums Tanzania Afisa wa TAKUKURU amuua mchumba wake kwa risasi baada ya kumkatalia ndoa licha ya kumsomesha

    Ni swali ambalo nilikuwa najiuliza suala la Afisa latokea wapi na ikiwa aliyeripotiwa kuwa ameua ni Mlinzi, alitimiza azma yake pindi tu alipotoka katika Lindo lake la usiku wa kuamkia siku ya Tukio!!
  2. I

    JamiiForums Tanzania Afisa wa TAKUKURU amuua mchumba wake kwa risasi baada ya kumkatalia ndoa licha ya kumsomesha

    Hivi ni Afisa wa TAKUKURU au ni mlizi wa pale ktk Ofisi Zao?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa yeyote aliyemaliza form 6 2016

    n D2 au point 4 ni kwa wale waliomaliza mwaka huu 2016. ila kwa wale wa 2015 na 2014 ni C2 kwasababu mlipita kwa BRN..... marks zenu zilikuwa chini sana.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa yeyote aliyemaliza form 6 2016

    F=0-34, S=35-40, E=41-50, D=51-60, C=61-70, B=71-80 na A =81-100...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa yeyote aliyemaliza form 6 2016

    F ni fail, S ni Subs.... Na kuanzia E mpaka A ni princ!!! Anayesema sio yeye atuambie zina maana gani!?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa yeyote aliyemaliza form 6 2016

    Yupo mwanafunzi mwenzangu ambaye tumemaliza pamoja, na yeye ana C na E lkn amekubaliwa
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ndalichako kama hoja ni kupata graduates wasiokuwa na viwango basi Ungefanya hivi

    Tumekosa sifa, ila god atabless kwa njia yoyote! Huyu mama sio kbs!! 2012 CSEE alifanya kuboronga kama hivi, now 2016 anaboronga tena ACSEE!! Kweli wengine hatuna bahati. Mtu unajitahidi unapata D, E, S NA S... lakini waonekana kilaza!
  8. I

    JamiiForums Tanzania Karibuni chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

    Vipi nacte wameshafungia au bado kuna uwezekano wa kupata?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

    Samahani, naomba kuuliza.. Kwa mtu ambaye amemaliza kidato cha sita na amepata Division 3 point 15 yaan Hist E, Kisw D, Eng S na G.s S... Anaweza kuchukuliwa kwa cozy ipi au ni science tu ndo walengwa?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kama ni maksi kwa serikali ya awamu 5 ningetoa kama ifuatavyo

    Safi sana... Umeona mbali maana kuna wanaokurupuka kwa kukosoa tu mengine mazuri hawayaoni
  11. I

    JamiiForums Tanzania BAWACHA Kilimanjaro waanza kutekeleleza agizo la UKUTA

    Hii sasa kali aisee
  12. I

    JamiiForums Tanzania Chuo huria

    The open university
  13. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sioni baadhi ya vyuo NACTE

    Usajili wa nini
  14. I

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Huyo ndugu aende degree kwasababu anazo point 4.0
Back
Top Bottom