Issah festo
Member
- Dec 13, 2014
- 31
- 11
Wakubwa habari zenu. Naomba kwa mwenye kufahamu kuhusu chuo huria wanaanza kuchukua point ngapi kwa mwanafunzi anayetaka kuchukua degree ya kwanza?
The open universitychuo huria ni nin???