BAWACHA KILIMANJARO WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA UKUTA
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa Viti Maalumu Mh Grace Kiwelu Ameanza rasmi kutekeleza agizo la Chama chake cha Chadema lililotolewa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Mh Freeman Mbowe akiwa ameambatana na viongozi waandamizi wa BAWACHA akiwemo Mbunge mwezake Mh Lucy Owanya Katibu wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai Mh Helga, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Geita Mh Husna,
Mh Grace Kiwelu alisema "Nimefika kuhakikisha maandalizi ya kuelekea 01/09/2016 yanafanikiwa kwa kiwango kikubwa katika Mkoa wangu wa Kilimanjaro pia Kinamama wezangu sisi ndio Taifa Taifa ni Mwanamke lazima tusimame imara kuupinga uonevu katika Taifa Letu kama wanaweke hatuwezi kukaa kimya kwenye hili lazima tuwe mstare wa mbele kama tulivyo onyesha kwenye uchaguzi basi na hili lazima tuwewakwanza, " Mh Grace Kiwelu aliwagiza viongozi hao wa Matawi na Kata 17 katika Wilaya ya Siha kuhakikisha wanafanya vyema Maandalizi ya UKUTA ifikapo 15/08/2016 atafanya tena ziara ya kuangalia maandalizi hayo.
Mh Kiwelu alisema Ndani ya Bunge letu uhuru umeminywa hatanyamanza huku nje lazima tupige kelele kwangu alisima Mh Kiwelu,
Lucy Owenya
Alikiongea na viongozi hao wa BAWACHA Wilaya ya Siha Mh Owenye aliwakumbusha viongozi kutokuisahau nguvu ya Mwanamke katika jamii huku akiwaomba lazima mwanamke asimame nakuwatete watoto wao ambao leo hii hawana ajira, "ninawaomba kinamama siku ya01/09/2016 tushiriki vyema kuhimiza UKUTA"
Katibu wa Baraza la Wanawake Mkoa wa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai Kilimanjaro *Mh Helga* aliwapongeza wanawake wa Siha kwa kuamua kuikata CCM katika uchaguzi mkuu wa Mwaka Jana huku akisema ni kwa mara ya kwanza Chadema kupata Madiwani wanawake leo mmendika historia ya kuwa na Madiwani wanne, nawaomba mjitume fanyeni kazi ili wanawake tuendelee kuminika katika kuongoza,Mfano mzuri ni Wilaya yangu ya Hai nimelifanya vizuri kwa vipindi vyote nikiwa diwani wa Viti Maalumu sikufanya mchezo ndio maana leo nimechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri nawaomba sana fanye kazi kwa kushirikiana zaidi hakikishe hamtatuangusha katika UKUTA sisi ni viongozi lazima tuwe wakwanza kutika kudai haki,
Mwenyekiti wa Mkoa wa Geita aliembatana na viongozi hao alifurahishwa na ungozi wa Bwacha katika mkoa wa Kilimanjaro kuwa wakwanza kulitekeleza agizo la UKUTA nami sitakuwa nyuma katika hili alisema,
Pia Mh Grace Kiwelu aliwakabidhi Shilingi laki Tatu kikundi cha Upendo cha Sanya Juu na Shilingi lakimbili kwa ajili ya kuutunisha mfuko wa Bwacha nae Mh Lucy Owenya aliutunusha mfuko huo kwa Shilingi Laki Moja,
Akitoa shukurani Diwani wa Viti Maalumu wa Siha Witness Riwa aliwashukuru viongozi hao na kuwaahidi kuyatimiza yale yote waliambiwa ikiwemo UKUTA
Wilaya ya Siha inaongozwa na Chadema katika nafasi ya Ubunge na katika Halmashauri inaongozwa na Chadema huku wanawake wakiwa katika kamati za Kudumu za Halmashauri.