Recent content by Iso

  1. I

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri linatumika kumchafua Dr. Mpoki

    kweli wanaochapa kazi ndio wanaopigwa vita.wito wangu kwa takukuru hilo swala wadilichukulie jujuu wafanye uchunguz.na wakibain ukweli waweke wazi.imeniuma sana kusoma hizi tuhuma juu ya dk mpok aliye iokoa rufaa toka mikononi mwa mafisi.ila siwezi kumtetea sana watu wana pande mbili.lakini...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mawio acheni kuweweseka na propaganda zenu hizo

    wakuu kwa kweli zamani nilikua nasoma sana habari za kubenea.baada ya kugundua ni muandishi kasuku.kwa sababu ni mmoja ya waandishi walioshawishi sana juu ya ubaya wa lowasa na uhusika wake wa richmond.yaan baada ya lowasa kuhamia ukawa akaanza kutuaminisha lowasa ni mtu safi.huyu jamaa kubenea...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Viti Maalum: BAWACHA Ruvuma wampa siku tatu Mbowe kubatilisha uteuzi wa Zubeda Sakuru kutoka Tanga

    kwani ruvuma kuna ukoo wa mtei hadi mpewe viti maalum
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mzee John Livingston Mwakipesile ameamua kuvaa gwanda kumuunga mkono Lowassa.

    haya si ndio makapi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    kata ya mwanjelwa mtaa wa banki na mtaa wa soko chadema kidedea
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri udom mtegoni

    Wana udom pigeni kitabu achaneni na huyo leacturel sababu yeye sio mungu had awatabirie kuwa hamna kwa kwenda. "hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo siku hiz hata kwenye t-shirt yapo".
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara makatibu wakuu wa CCM, Chadema

    Wanasiasa walete sela za kuikomboa nchi kutoka kwenye umasikini.kuliko kutajiana mishahara haisaidii chochote.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)

    waambie hao hata malaika mkuu hajui sembuse binadam.mimi siogopi wala nini?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Jaman nipokeeni mwanenu...,!

    ok mkuu i will never break jf rules.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo cha wazazi wangu

    Pole sana.wao wametangulia na sisi tutafuata.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Jaman nipokeeni mwanenu...,!

    Jambo wana jf mimi ISO.Ni mda mrefu sana nilikua natamani kua mwana jf.sasa nimefanikiwa.naahid kutoa ushirikiano jf.naomba mnipokee
  12. I

    JamiiForums Tanzania Picha sio umati: Nape atamba kumuumbua Dk. Slaa kesho Singida

    Wahenga walisema kuchamba kwingi utashika mavi.Nape hana lolote.mda si mrefu atashika mavi kama baba janualy
Back
Top Bottom