Masikini chadema jini wamelipokea wenyewe sasa linaanza kuwazuru bila wao kujua ifikapo anafata SUMAYE wa mwisho kabisa LOWASA ndio kitakuwa kifo cha chadema
JAMANI MBONA MNAMUANDAMA PENGINE KALIZA MSOMO ANAANZA KAZI MSHAHARA WENYEWE HUWEZI KUUBAJETI UKAPA JAPO MTAJI WA KUFUNGUA HATA GENGE MAANA MSHAHARA UNAISHA KABLA HATA YA MWEZI KUISHA SIKU ZINAZO BAKI WANAKOPA WANA MADENI HAO USIPIME
Mimi binafsi naona ni vizuri sana kwa sababu ilikuwa inafika wakati mpangaji anamaliza kodi yake alafu hana ela ya kulipa miezi.sita au mwaka akimwambia mwenyenyumba ampe kiasi alicho nacho mfano miezi mitatu mwenye nyumba hataki sasa anamwambia amuachie chuma/nyumba yake sasa inafaa sana...
Yaani Tundu Lisu natamani awe.mgombea 2020 huyu ndie mpinzani wa kweli anaweza kutuvusha ccm inataka wapinzani goigo lakini.Lisu.anawapelekesha mputa.mputa mpaka.wanakoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke lazima umpendezeshe unapeleka shopping m inakatika hata ulicho nunua hakionekani wewe unawaza10000 hata usafi wa.kucha haiwezi kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu mleta mada hivi vitabu ni maona na sababu zipo kwanza ukitakakujua kwanza kuwepo kwa vitabu hivi kwa mda lefu sana ni ishala tosha maana toka viandikwe bado hakuna aliye jaribu kuandika kitabu kama hiko hata hao tunao waita wasomi wakubwa duniani wameshindwa lakini kuna mambo...
Mashene hizo sio leseni wala TN maana wameamua kutumaliza kwenye mashine.zao zinaanzia laki saba kwenda juu ila makato yao sasa faida yote wanachukua wao unabaki na.kidogo mfano mimi yalisha wai kunikuta niliuza mali za milion moja na laki.nne nikapata faida ya.laki.mbili na kumi wao walinikata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.