njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,374
- 985
- Thread starter
- #21
Ha ha haa hapo kwenye "njaa" mwisho utawaita ni Makarai.Nan wa kumpokonya... Mashinji ama? Angalia mtu aliye ngangali... Yeye akiporwa basi ataendelea na ubunge wake... Ila kuna vijana nna imani nao sana ila inaonesha wana njaa mnoo
1.yeriko nyerere
2.malisa
N. K wakumbukwe hawa