asante sana mkuu! nimeona pia katika mojawapo ya vyanzo kama sijaelewa vibaya ni kama ugonjwa wa kurithi vile, ningenda kujua kama kuna other causes of the disease, clinical features, laboratory/and or other investigations which can be done to confirm the diagnosis. also treatment and...
nimejaribu kugoogle kabla ya kupost lakini maelezo niliyopata kama hayanitosha vile na ndoo maana nikaomba kama wapo wenye kujua zaidi ya hapo wanifahamishe
kuna ugonjwa unaitwa raynaud's phenomenon/disease.wenye ufahamu juu ya huu ugonjwa naomba mnijuze jamani kwanzia vinavyosababisha, dalili zake, vipimo vyake, matibabu yake na hata madhara yake.
nawasilisha
unyanyapaa wa hali ya juu kabisa unauonesha. labda tupe mwongozo kama wenye vvu hawaruhusiwi kufanya ngono na kama wanaruhusiwi ni kwa watu gani. sema umejisikia vibaya kutongozwa ukiwa mke wa mtu lkn usiweke kipengele cha h.i.v.
lkn tukirudi nyuma ilikuwaje mpaka kakutongoza? isije ukawa...
walimu wa hayo masomo wapo? vinginevyo swala litabaki palepale, mfumo mzima wa elimu uko distorted toka juu hadi chini. sina uhakika sana na uwajibikaji wa tcu sababu kuna mambo mengi sana ambayo yamekuwa yakifanyika kienyeji lakini tcu kama chombo kinachosimamia uendeshaji wa hivi vyuo...
sidhani kama marks za kujiunga zinaweza kuwa sababu katika hilo. nilichomwelewa mtoa maada ni kwamba analalamikia kutofundishwa katika masomo husika. sidhani hata hao unaodhani walifaulu kwa kiwango cha muhimbili wanaweza kufaulu kwa kiasi wa walichofaulu huko kwa mazingira kama ya bugando
poleni sana kwa matatizo hayo. kimsingi mfumo mzima wa elimu hapa bongo umeharibika vibaya na siyo bugando tu, vyuo vingi vya medicine wanalalamikia ubora wa elimu ktk vyuo vyao hasa katika masomo ya basic science na kujikuta wanahesabu miaka yao mitano iishe tu ili wapate magamba yao na kurudi...
<br />
kwa hiyo alikufa kabla ya ajali kutokea? kama ndiyo, hizo panadol na drip mhimbili sidhan kama zingemsaidia.
majibu ya post moterm yamekaaje?
<br />
Thibitishieni kwa kuweka vielelezo kwanza ya Shimbo na trilion 3 kabla ya hili maana isije ikawa rafu za kisiasa mnazocheza za kuchafuana. Unaposema una details umeweka pembeni kidogo tunashindwa kuelewa, mmefanya post-mortem to confirm the cause of death?
Otherwise kama kweli kafa ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.