Recent content by ISikhathi

  1. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Kinachoboa Mwanza

    Nadhani amemaanisha population, biashara na maendeleo Maana kijografia Dar ndio mkoa mdogo kuliko yte TZ
  2. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Kinachoboa Mwanza

    Tusaidie na sie tusiojua
  3. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Je, ni ubora wa wasanii au umahiri wa Producer?

    Wao walikuwa wanaumiza Vichwa zaidi ndomana kuna utofauti wa kazi za zamani na sasa.
  4. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Je, ni ubora wa wasanii au umahiri wa Producer?

    Kuna siku nilimsikia akihojiwa, anasema zamani kulikuwa na maproducer ila sasa hv kuna ma-beats makers.
  5. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

    Ukishakua nguli unazipata namba binafsi za watangazaji unamtumia straight, yupo mshkaji wangu anamtumiaga sms maulidi kitenge anasoma hewani.
  6. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

    [emoji3][emoji3]nimecheka sana
  7. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Wataalam wenu wanapatikana wapi? Maana hawa wataalam wadogo wameshindwa kutatua tatizo Dk.
  8. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Mwizi wa deki G/Mboto atumiwa nyuki

    Ila kiswahili kinachopigwa hapo Sio cha uganda kabisaa...
  9. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Habari Dk. Nasumbuliwa na masikio kwa muda mrefu Yanavuma na wakati mwingine kuuma Help me pls
  10. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania UCL FAINAL 2018: Liverpool baada ya kuwatoa AS Roma sasa kukwaana na Real Madrid katika mchezo wa fainali

    Na ule uchezaji wa mechi ya kwanza Anfield , madrid wataweza kweli kuhandle pressure ya liverpool ? Acha kukalili mzee baba
  11. ISikhathi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wakati gani wa kuacha kumtongoza mwanamke?

    Aliwahi kuulizwa mtaalam wa saikologia ya mapenzi Dk john grey Ni mwanamke wa aina gani mgumu kutongozeka? Akajibu ni yule asiejibu... Kwahiyo mzee baba ukiona mtoto anatoa ushirikiano ujue huyo analika ila badirisha badirisha mbinu.
  12. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Jack Pemba avujisha video yake ya ngono

    Ukinifanyia mpango na mimi itapendeza
  13. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Bayern, Liverpool, Madrid na Roma kukipiga nusu fainali ya UEFA, nani ana nafasi kubwa kuchukua Ubingwa?

    Tehteh mashabiki wa liverpool bana...hicho ndicho mnaombea kitokee
  14. ISikhathi

    JamiiForums Tanzania Diamond akiwa na Magufuli Uwanja wa ndenge JKNIA

    Mmh jamani siwalikuwa airport wote jamani
Back
Top Bottom