Angalia koti la Magu na mkono wa Diamond hapo inapokutana utajua hii ni picha ya kutengenezwa, unaweza usione kwa simu mimi natumia PC iko very clear imetengenezwa.Aisee!! Kama sio fotoshopu basi inaelekea ni rafiki yake sana. Hivi diamond hawezi kutusaidia kumueleza hali halisi ya huku kitaa, maana naona kama wanasiasa walishidwa mapema na sasa wachungaji na mapadrenao wameshindwa.
Angalia koti la Magu na mkono wa Diamond hapo inapokutana utajua hii ni picha ya kutengenezwa, unaweza usione kwa simu mimi natumia PC iko very clear imetengenezwa.
![]()
Mkono wa Magu akishikana na mtu mwingine ndio umeungwa na picha ya Diamond.Ninaanza kukuamini. Kiashiria kingine ni kuwa wote wanatazama pande tofauti (si kama watu walioko pamoja ama wanaonong'onezana jambo). Tazama pande anayoangalia Diamond, ni mgongoni kabisa kwa Mhe. Rais.
Lakini sasa, hata kama ni "Photoshoped", mbona waliposhikana mikono ni 'real' kabisa? Au ndio wakali wa Photoshop hao?
Chooochoooo imetengenezwaa kawadanganyeni wajinhaAngalia koti la Magu na mkono wa Diamond hapo inapokutana utajua hii ni picha ya kutengenezwa, unaweza usione kwa simu mimi natumia PC iko very clear imetengenezwa.
![]()
Hakuna Photoshop hapo.Chooochoooo imetengenezwaa kawadanganyeni wajinha