Recent content by ishumi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kujiunga chuo kikuu Huria kozi ya Sheria akupuo ya Julai 2019

    Nielekeze jinsi ya kuapply Boss nataka na mie nijiunge na hiyo chuo mwaka huu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Karibuni Open university of Tanzania

    Walio apply may majibu yanatoka lini boss?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Binti wa kiiraq(mtoto wa kimbulu) kanishika msaada tafadhali

    Mwanamke wakiiraq hata nikipewa bure na kuongezewa milioni tano bure sioi .ukio wale umeoa pressure ndani
  4. I

    JamiiForums Tanzania Binti wa kiiraq(mtoto wa kimbulu) kanishika msaada tafadhali

    Madada ya kimbulu nouma sana
  5. I

    JamiiForums Tanzania KUTUMA APPLICATION ZA UALIMU ZINAANZA LINI?

    Things in this land are unpredictable, unaweza ukasomea ualimu wa msingi bado mambo yakawa magumu baadaye utashangaa keshokutwa wakisema waalimu wa sanaa tunawajiri shule za msingi mana tumewasomesha. In short no body knows about tomorrow
  6. I

    JamiiForums Tanzania Msaada ualimu cheti>>>chuo kikuu

    Walimu wapo wengi sana serikali haina pakuwapeleka
  7. I

    JamiiForums Tanzania Msaada ualimu cheti>>>chuo kikuu

    Hiyo ni zero ulikuwa unafanya nini huko shule
  8. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwanini serikali haiajiri walimu wa masomo ya

    lugha yaani kiingereza na kiswahili katika shule za msinginza umma kama ambavyo wamiliki wa shule binafsi hufanya?
  9. I

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ILIANGALIE UPYA HILI SUALA LA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI HASA KWA WALIMU WA SANAA.

    Ukishajua kusoma na kuandika wewe sio mjinga hizo ngazi za elimu za kidato cha 4 ,6 na vyuo ni sifa tu za wabongo ila hazina ulazima
  10. I

    JamiiForums Tanzania Bed Special needs.

    Watanzania wagumu sana kuelewa someni kozi mnazoweza kujiajiri huu ualimu wenu utawatokea puani
  11. I

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ILIANGALIE UPYA HILI SUALA LA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI HASA KWA WALIMU WA SANAA.

    Habarini wanJf! Ukitafakari kwa makini walimu wa digrii waliotelekezwa na serikali wengi wao wamesomeshwa kwa kodi za wanachi maskini, kitu chakushangaza ni kwamba serikali imetumia hela nyingi sana kuwasomesha na bado serikali inaendelea kuwasomesha tena kwa gharama kubwa ili hali serikali...
  12. I

    JamiiForums Tanzania RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

    Special education wameajiriwa wa masomo ya Arts shule za msingi na sekondari ila sio wote,pia wa masomo ya sayansi hawajaariwa wote in short walioajiriwa ni wachache sana ukilinganisha na walio kuwa wameomba, ila waziri mwenye zamana kasema ambao hawakubahatika awamu ya kwanza majina yao...
  13. I

    JamiiForums Tanzania RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

    Mbombo ngafu
Back
Top Bottom